nashukuru kwa kupita kibarazani kwangu na salamu zako nimezipata ispokuwa kama ulivyoona tangazo la msiba hapa kijijini tulikuwa tunaomboleza msiba wa mwanakijiji mwenzetu marehemu Salim Zuze lakini tunashukuru tumemaliza salama.
na sasa napatikana kwa wingi tu hapa kijijini, usijali tupo pamoja.
nakutakia siku njema
At 11:34am on Ocktoba 8, 2009, Mtoto mzuri anasema…
dadangu jamani mambo mengiiiiiiiii bt natumaini nitakuona soon msalimie baby
mama mwenyeweeeeee mzima wewe??? upo ndugu yangu..... maana huo ukimya au ndyo mambo fulani tayari bila hata kuambiwa????? sawa bwana kama ni kweli halafu umenitupa bila hata ya kunimabia.......
At 3:06pm on Septemba 17, 2009, Bby Candy anasema…
Comment Wall (310 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
mimi wa afya njema nakutakia
jioni njema baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
na sasa napatikana kwa wingi tu hapa kijijini, usijali tupo pamoja.
nakutakia siku njema
Ona Maoni Yote