FotoBaraza.Net

Jozzee
  • -kiume
  • hyderabad
  • India
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Jozzee

Muziki

Inapandisha...

Mijadala ya Jozzee

HIVI UTAMADUNI WA MAVAZI YETU UKOJE?
7 Replies

Mimi mpaka sasa kama mtanzania nimeshindwa kujua kama sisi mpaka leo atuna au tunalo vazi lasmi la utamaduni na kuna kipindi kulikuwa na mchakato wa kutafuta vazi hilo lakini sijajua kama lilifanikiw…

Umeanzishwa mjadala. Mchango wa mwisho na mujydebubyz Aug. 31, 2009.

 

Ukurasa wa Jozzee

Gifts Received

Gift

Jozzee has not received any gifts yet

Give Jozzee a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

hivi ni kweli anaweza kutuwakilisha huko majuu kwenye fani ya urembo na maana mimi naomba munieleweshe ni vigezo gani kamati inaangalia inawezekana tukawa na mamiss wengi sana tanzania maana inawezekana sio uzuri wa sura tu km wahenga wanavyosema ba…
Ocktoba 9, 2009
Jozzee added a discussion
naomba munisaidia maana nimekaa na kufikira sana kuhusu nchi yetu na viongozi wetu wakubwa wa serikali hasa tarehe 4 mpaka tarehe 7 ya mwezi huu pale nilipopata habari kuwa chief minister wa hyderabad amefariki kwa ajali ya helikopta mi nikaona ni k…
Septemba 7, 2009
kama lugha yako inathamani basi hata mavazi utakuwa nayo. ila kama unatamani yes no basi utatawaliwa kuanzia lugha hadi mavazi
Agosti 31, 2009
kwanza nashukuru sana kwa kuchangia hoja yangu nawashukuru sana sana hila hoja yangu hii nilikuwa namaanisha hasa VAZI LA KIUTAMADUNI YAANI LA KIASILI YA TANZANIA kama nchi nyingine yaani kama wenzetu naigeria,india na jamii ya kimasia huko kwetu ta…
Agosti 31, 2009
Suala la mavazi linahusu nafsi ya mvaaji na jinsi gani anavyojiheshimu na anavyotaka jamii imuelewe.mi nadhani la msingi yangebainishwa mavazi ya ofisini na sehemu zingine zinazohitaji vazi la aina ile.Mbona kwenye mahoteli ya kitalii kandambili zin…
Agosti 27, 2009
Hatuna utamaduni wa mavazi ndugu yangu, hata sijui ulipotelea wapi. hapa ni full jeans tu na masuti suti basi
Agosti 27, 2009
kaka hapa wapi? maana hapa tunabishana sana kama ni iringa,dodma,au mtwara
Agosti 26, 2009
Jozzee added a discussion
Mimi mpaka sasa kama mtanzania nimeshindwa kujua kama sisi mpaka leo atuna au tunalo vazi lasmi la utamaduni na kuna kipindi kulikuwa na mchakato wa kutafuta vazi hilo lakini sijajua kama lilifanikiwa au la! vazi hilo kwa sasa nafikiri linaitajika k…
Agosti 26, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
hyderabad
Umri
27
Kazi Unayofanya
nipo chuo
Namba ya Simu ya Haraka
nil
Anuani ya Barua Pepe
joozzee@yahoo.com
Mahusiano:
Single
Jinsia
Male

Picha za Jozzee

Inapandisha...

Comment Wall (33 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 5:40pm on Agosti 25, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
Jozzee Maurinyo!! mzima mtu wangu! ee bwana nakutakia siku njema.
At 3:31am on Agosti 24, 2009, Evacindy anasema…
Familia ni nzuri Mungu anajalia, kazi kwa wingi huku, vipi maisha ya India vipi?
Unatiletia Neenah! nini? (watoto wa kihindi wazuriiiii!!)
At 7:59pm on Agosti 23, 2009, Michuzi Jr anasema…
INSHAALLAA MKUU JOZZEE
At 10:11pm on Agosti 16, 2009, Evacindy anasema…
Asante kwa comments bro, uko wapi India?, My brother youko huko-Bangalore anasoma, labda mmeshakutana!
At 7:21pm on Julai 31, 2009, araway anasema…
karibu mkuu http://fotobaraza.ning.com/group/burdanimbalimbali/forum
At 2:51pm on Julai 26, 2009, Dismas anasema…
Mi nipo fresh kaka. vp hapa kwako. Nina imani kuna amani ya kutosha.

2po pa1 m2 wangu
At 7:41am on Julai 24, 2009, Neema Mmanga anasema…
KIUKWELI MM MUDA WA LIKIZOM SIUJUI ILA TUOMBE UZIMA IFIKE HIYO SIKU TUTAJUA NITAKUWA WAPI. MANY THX BYE
At 10:09am on Julai 23, 2009, Neema Mmanga anasema…
asante sana ila mm nadhani tuombe uzima kwanza kisha ukishafika huku ndo unitafute bwana Jozee
At 6:36pm on Julai 21, 2009, Sarah anasema…
MAMBO JOZEE
At 7:44am on Julai 21, 2009, Neema Mmanga anasema…
bwawani Rock Cafe au Pemba bar! lafudhi yakichaga imepotea sasa naongea kiswahili kilichonyooka siunajua tena mambo ya pwani?
sawa! ila wewe unakuja lini Tanzania? au haujapamis! siku njema na masomo mema pia
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter