FotoBaraza.Net

Byanaku - Chui Mfalme
  • -kiume
  • Tanga Raha
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Byanaku - Chui Mfalme

Muziki

Inapandisha...

Makundi ya Byanaku - Chui Mfalme

Mijadala ya Byanaku - Chui Mfalme

DUA

Amejibu Nov. 12, 2009

Utani wa Kikenya

Amejibu Oct. 6, 2009

KIBONGO ZAIDI

THE MAKING OF MY BOO.

Hii ni video mpya inayokuja ya mwanadada Angeris or Angie, wimbo wa video hii unaitwa Ma Boo na unapatikana kwenye album yake inayokwenda kwa jina la ESTERANGIE, producer wa wimbo huu ni Lamar kutoka Fishcrab.
Namnukuu Angeris "this is final touches of the video its a 2010 special ladies and gents stay tuned coz ur favourite dish is READY"

NASUBIRI COMMENTS ZENU WADAU.

THE MAKING OF SHE GOT IT PARTY.

Hii ni video ya pili ya mtu mzima Moracka, video hii picha zake ziko tofauti tofauti, shoti hizi za mwanzo zinamuonyesha Moracka akiwa ndani ya lift halafu anaingia mrembo ndani ya lift hiyo na baada ya lift kufunga ndio utapata matukio mengine huku lift ikishuka chini.

Hapa inawaonyesha wakiwa ndani ya lift na Moracka akionyesha kumtamani kinoma huyu binti kumbe binti ana jamaa wake anamsubiri kwa chini.

Huyu ndio jamaa mwenyewe anayemsubiri yule binti ambaye yuko kwenye lift ashuke chini.

Mwanadada ameshashuka na jamaa wake inabidi asepe nae, mwisho wa video ndio utaona haya na utanielewa nachomaanisha.

Hapa wakiambiwa jambo na Kallage jinsi watakavyoambiwa wafanye, haya tujionee wenyeweee

ITAENDELEA......

THE MAKING OF SHE GOT IT PARTY 2.

Hivi ni vipande ambavyo vinapatikana kwenye video mpya ya Moracka inayoitwa She got it

SHAVU LA VIDEO YA SHE GOT IT.

Raya akiwa na dj choka wakati walipokuja kushuhudia video ya Moracka

Rosemina, Moracka na Dau Racka
dj choka na mwanadafada Suzy, Pole Suzy kwa kuibiwa simu wakati unarudi home

Rechal, Nuru, Nas 3 na Rose

Tugeza tunawakilisha.

DJ CHOKA PRESENT BEAUTY OF THE WEEK.

huyu ndiye beauty wa wiki ile iliyopita anaitwa Nancy Summary, alipata kura 102 sawa na asilimia 72 huku akimwacha mwenzake ambaye alikuwa Nakaaya kwa kupata kura 39 sawa na asilimia 27.
Asante wadau wangu.

VIDEO YANGU NAIFANYA LEO.

Msanii Moracka leo mchana atafanya video yake ya wimbo wake mpya unaoitwa SHE GOT IT ambao amemshirikia mwanadafada DIVA. Moracka ameniambia video hiyo inafanywa na kampuni ya Kallage's Picture.


Maandalizi ya video huwa ni hivi, nikirudi nitakuja picha za video hii ikiwa inatengenezwa wadau.

KITAANI VOL 1.

Kitaani volume 1, ni mixtape iliyosheheni wasani wakali kama Fid Q, Jay Moe, Chidi Beenz, Witness, Solo Thang na wengine wengi inapatikana kupitia +255 714 884342.
CD inauzwa sh 5,000/=

NILICHOAMUA MWAKA HUU.......

Samaki ana mengi yakusema lakini mdomoni ana MAJI.

DJ CHOKA PRESENT THE HOTTEST MC 2009.

Anaitwa Rashid aka Chidi Beenz, nimsanii wa bongo fleva na mwaka jana ndio msanii aliyefanya kollabo nyingi sana na wasanii wa hapa kwetu na nje ya Tanzania.
Kulikuwa na shindano la kumtafuta msanii yupi atakuwa hot kwa mwaka jana na Chidi alikuwa anashindana na wasanii wenzake ambao ni FID Q, MWANA FA, PROF JAY, AY, JAY MOE, LORD EYES, MANGWEAR na JOH MAKINI.

Na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:-
1. Chidi Beenz - 157
2. Fid Q - 133
3. Joh Makini - 132
4. Mangwear - 100
5. AY - 73
6. Mwana FA - 55
7. Prof Jay - 45
8. Jay Moe - 43
9. Lord Eyes - 35

Haya ndio maneno ya Chidi Beenz baada yakumwambia umeshinda "Duh nashukuru tu na nawapenda sana tuko pamoja na nakuja na kitu kinaitwa La Familia NWO. Hata wafanyaje itashindikana kunifikia, Chidi aka Big Boss aka King Kong aka CHUMAAH."

Shukrani kwa wote walivote...nyie ndio mnaousimamisha mziki huu wa bongo fleva
Mungu ubariki mziki wetu wa Bongo Fleva.

MSOSI WANGU WA LEO MCHANA...

Leo nilitembelea mahali fulani na ma homie Moracka, na menu letu lilikuwa kama hivi,
hapa ni kitu cha Nyama

Bwana wee hii hapa mtanisaidia kwa kweri daah

Pronsi kidogo si mbaya

Huyu samaki sasa usimpimie kabisa...hapa alikuwa amechambuliwa mifupa yote ndio kawekwa hivi bwana

Mtoto Moracka alichemsha, alikuwa anaanzisha ligi na mimi kwa kula.
 

Haterz I dont See you No moo

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

masaa 5 yaliyopita
Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru aliyeanzisha huu ukumbi na wale wote wanaoweza kuingia sehemu hii takatifu na kujifunza kama si kutufunza na kukumbushana pale pindi tunaposahau kama si kujifanya tumesahau... Insahallah MOLA awape ufahamu zaid…
masaa 5 yaliyopita
Rehma na Amani ziwe juu yenu Enyi mlioamini
masaa 5 yaliyopita
ASALAM ALAIKUM. ukumbi huu ni wa kukumbushana na kuelimishanamaswala ya duniani na kesho akhera zaidi ni kumkumbuka maulana na mtu yoyote anakaribiswa kujiunga awe muislamu au si muislam bora tuwe na maoni ya amani karibuni
masaa 5 yaliyopita
masaa 10 yaliyopita
masaa 10 yaliyopita
masaa 11 yaliyopita
HAKEEM , KHALID dah safi sana MAJINA ya ukweli. Dark skinned....dah rangi ya ngozi ya ukweli hizo Mama wa UKWELI ha ha a aha haha mmependeza wajomba
yesterday

KARIBU KONA YA VUNJA MBAVU

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Tanga
Umri
unalingana na wako
Kazi Unayofanya
EARNING SOME MORE MONEY THATS ALL
Namba ya Simu ya Haraka
0713 &*$#@!()
Tovuti Yako:
http://www.shereheka.webs.com
Anuani ya Barua Pepe
byanaku_03@hotmail.com
Mahusiano:
In a Relationship
Jinsia
-kiume

Picha za Byanaku - Chui Mfalme

Inapandisha...

Comment Wall (250 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 1:42pm on Januari 8, 2010, Dada anasema…
mie mzima namshukuru Allah Karima, kwani Dom ni mvua kwa kwenda mbele, vipi Tanga wanasemaje?
At 11:44pm on Januari 6, 2010, Mama Malaika anasema…
Vipi kaka yangu za siku tele? Mbona kimya sana? Nimekukumbuka
At 2:56pm on Januari 2, 2010, Mama Rayan anasema…
nyumba hii hamjambo
At 7:31pm on Desemba 31, 2009, Dismas anasema…

At 4:34pm on Desemba 31, 2009, Alfan anasema…
NEW YEAR
At 10:42am on Desemba 31, 2009, Dada anasema…

At 3:33am on Desemba 31, 2009, cherry anasema…
MY BRO MBONA UMEPOTEA HIVYO UMEKUA MIE SIKU HIZI,NIKIPOTEA NAPOTEA
At 2:36am on Desemba 24, 2009, Sarah anasema…

Wishing u 12 month of HAPPINES, 52- Wks of Fun
365- Days of Success,
8760hrs- of GUD Health,
525.600mins- of blessing and
31,536secs -of JOY,
HAPPY CHRISTMASS
At 8:29pm on Desemba 9, 2009, Cat Wa Ukweli. anasema…
hallow baba koku.just micng u hia.ha ha haaaaaaa
At 10:18pm on Desemba 8, 2009, Mama Malaika anasema…
Tumekukumbuka, mbona kimya sana?? Uko salama?
At 10:36pm on Desemba 2, 2009, Mama Malaika anasema…
We bwana wee mbona kimya??
At 12:20pm on Desemba 1, 2009, Dada anasema…
kifungu hiki ndugu yangu kinataka kufanana na cha Babu Seya na watoto wake yaani life sentence, sikuzote hizi hujatutembelea kijijini? any way pole sana na hujambo?
At 9:18am on Desemba 01, 2009, ladymwana gave Byanaku - Chui Mfalme a gift
kwa kuadhimisha siku ya ukimwi duniani chukua hiyo kinga, ujue kuwa kinga ipo ila tiba hakuna so jilinde mwenyewe.
From the Gift Store
At 2:29pm on Novemba 27, 2009, Leila anasema…

At 1:21pm on Novemba 27, 2009, Omari Namanji anasema…
nime pita kuku salimia mzima wewe?
At 11:45am on Novemba 26, 2009, Cat Wa Ukweli. anasema…
Hallow swithrt hau a u?
Umeadimika,wts wrng hun?
At 12:00pm on Novemba 24, 2009, ladymwana gave Byanaku - Chui Mfalme a gift
take care
From the Gift Store
At 11:57am on Novemba 24, 2009, someone gave Byanaku - Chui Mfalme a gift
take care
From the Gift Store
At 9:28pm on Novemba 19, 2009, Mama Malaika anasema…
Chui umeadimika sana. Umzima lakini?
At 9:47am on Novemba 17, 2009, ladymwana anasema…
hii,

asante kwa kupita kwangu karibu tena siku ingine.

siku njema.
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter