At 3:31pm on Februari 24, 2009, CHA the Great anasema…
salama hapa?
At 7:45pm on Februari 18, 2009, Babukadja anasema…
Imekuwa wiki ndefu sana kwangu, nimepotea kidogo. Unajua ukienda sehemu ambayo ni nje na nyumbani kwako unakuwa unatamani kukutana na watu tu na kutazama mazingira. Basi unajikuta marafiki zako wa mtandaoni unaanza kuwasahau.
Comment Wall (39 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
nimepita kuwasabahi
Mambo vipi lakini?
Ona Maoni Yote