Yaani katika vitu ninavyochukia la kwanza ni hili la kukosa uaminifu. naweza kusema ni tamaa na ulimbukeni tu wa mtu. Kama watu mnapendana lazima kila mtu atakuwa free kwa mwenzake kumwambia napenda nifanyiwe hivi. Kwani kutoka nje sio suluhisho sas…