kweli mtungi ulikolea jamaa yako alishindwa ata kukumbuka namba ya chumba, aliwaka sana kweli ilifurahisha mlitoka mida gani uko kwani hiyo saa moja jamaa alikuwa bado kachanganyikiwa hacheki wala halii, bali uchovu tu. Njoo once huku kwetu Stuttgart uone tunavyojua kujirusha kiutu uzima!!!
vipi wewe ulifika salama, na vipi yule jamaa wa holand anaendeleaje, Essen hapakutosha kwani nilikuta mtu kalala kwenye lobi ya hotel, wiski imekolea!!! safi sana, I hope yule mtoto wa stuttgart atanipigia na tutaonana viwanja vya uko.
nilipita kukusalimu na kukukaribisha ktk mfuko wa wanafotobaraza wa yatima wetu na kuwepo kwako kutafanikisha malengo yetu karibu sana,nakutakia siku njema
Comment Wall (19 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
I hope you had fun!!!!!!!!
ntawapa bei nafuu kabisaaa...hehe
Ona Maoni Yote