Dr. Stiba usijali kabisa, nyinyi huko pangeni na amueni wapi mkutane na sisi wa huku Zanzibar tutakujaaaa!!!
Amejibu Oct. 5, 2009
Kweli kaka Mabagala, kama kupanga basi wapange siku za mbele kidogo ili nasisi wa Zanzibar tupate muda wa kwenda huko Dar kuwakilisha!!........
Amejibu Oct. 5, 2009
Nikweli Young!! inabidi wanakijiji wakila sehemu wakutane kutokana na urahisi wao!!!......wacha nipange na Mabagala nasisi wa Zanzibar, tukutane na tutoe mualiko kwa wanakijiji wengine!!
Amejibu Oct. 5, 2009
Dah!...Mabagala Kakaaa umegusa ndipo, au nasisi tuwaalike waje Zanzibar?? maana naona wao wanajipendelea tu kule Dar!
Amejibu Oct. 5, 2009
Hashir Mohammed has not received any gifts yet
Karibu
FotoBaraza.Net
© 2010 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!
Comment Wall (49 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Ona Maoni Yote