wewe dada wewe!!!!!! mbona hv! au matatizo yaliyo tokea mbagala na wewe yalikukumba! cos toka yl mabomu ya mbagala hadi leo upo kimya sana........sema dear ....kama ni michango nipo tayri kukontribiut
At 3:55pm on Januari 30, 2009, saleh stambul anasema…
Mambo vp bibiye?
At 12:14pm on Januari 21, 2009, Babukadja anasema…
Kitojo umetoweka vibaya. Hivi wewe ni mpare, maana jina lako lina maana nzuri sana kwa Kipare, natak nikufahamishe kama hujui maana yake. Jina safi sana.
Comment Wall (29 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Amani kwako dada
2po pa1
mambo vipi?
Mbona kimya sana?
Ona Maoni Yote