FotoBaraza.Net

Federal Agent
  • 24, -kiume
  • Dar es Salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Federal Agent

Makundi ya Federal Agent

 

Ukurasa wa Federal Agent

Gifts Received

Gift

Federal Agent has not received any gifts yet

Give Federal Agent a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

I & I Rastafari!
Julai 4, 2009
Federal Agent amebadili picha yake
Julai 2, 2009
Federal Agent ameweka picha:
Julai 2, 2009
Mei 16, 2009
Machi 26, 2009
Machi 26, 2009
Spot on! leo nilikuwa namwambia hivo hivo mama yenu(my girl). Haiwezekani wao wawe na siku ya kuandamana kudai haki zao wakati sisi full time tunahangaika kusaka mahela ya kuendesha familia.Inatakiwa itengwe siku yetu ya kukaa sehem tofauti na bar a…
Machi 9, 2009
Mwanangu mwenyewe si unajua lakini SaCCos ukishindwa kurejesha mkopo kwa muda muafaka wanabeba hadi vijiko na sahani?
Februari 11, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar es Salaam
Umri
23
Kazi Unayofanya
Mjasiriamali
Namba ya Simu ya Haraka
0714
Anuani ya Barua Pepe
gsha@live.com
Mahusiano:
Single
Jinsia
-kiume

Picha za Federal Agent

Inapandisha...

Comment Wall (9 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 3:03am on Machi 26, 2009, Sarah anasema…

At 3:02am on Machi 26, 2009, Sarah anasema…
Kimya sna we upo jamni
haya karibu wali kwa mrenda hihiihi
sikunjema
At 11:48pm on Januari 15, 2009, Babukadja anasema…
Jipe moyo mtu wangu, huu mwaka wetu huu. Mwezi wa kwanza siku zote huwa kidogo unakuwa tasa katika suala la uchumi ila ukiunganisha na hili janga la upungufu wa mafuta jijini ndo unausikilizia mkong'oto wa maisha vizur zaidi.

Kiburi cha wauza mafuta wamepewa na serikali kwa hivyo ni serikali pekee yenye uwezo wa kurekebisha hilo, cha ajabu ni kwamba wanachukua muda sana kudili na hiyo kesi.
At 10:51pm on Januari 3, 2009, Babukadja anasema…
Heri ya mwaka mpya Federa Agent, :-)
At 11:37am on Juni 29, 2008, Young anasema…
nimepita kukusalimu na kukukaribisha ktk mfuko wa yatima wetu na kuwepo kwako kutaongeza mafanikio yetu na malengo yetu kutimia ,nakutakia siku njema
At 7:43am on Juni 17, 2008, fumbu anasema…
ni nyumbani kwa mwalimu wetu wa Kiswahili, si mbali na Moscow. bustani na nyumba zote mbili wamepanga pamoja na mumewe.
Hali ya hewa ni 20C sasa! Vipi Dar?
At 3:48pm on Juni 7, 2008, Don Magere anasema…
Ohhh! Timon! vipi Pumbaaa yuko wapi!
At 3:47pm on Juni 7, 2008, Don Magere anasema…
Hakuna matata! what a wonderful phrase!
Hakuna matata!aAin't no passing craze.
It means no worries for the rest of your days,
it's our problem-free philosophy
Hakuna matata!.
Karibu sana katika kijii
At 11:19am on Juni 7, 2008, Young anasema…
karibu sana kijijini
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter