FotoBaraza.Net

Evacindy
  • -kike
  • Westfield,MA
  • United States
Shirikisha 

Marafiki wa Evacindy

Makundi ya Evacindy

 

Ukurasa wa Evacindy

Gifts Received

Gift

Evacindy has not received any gifts yet

Give Evacindy a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

masaa 16 yaliyopita
masaa 21 yaliyopita
masaa 21 yaliyopita
Evacindy left a comment for c
yesterday
Mimi ndio mbwa na paka na nyoka na mama zao kabisa huwa naongea nao kila siku, dunia imearibika sasahivi!!
yesterday
Yaani mimi nawaita kuku wa nyama hao, maana wanakua kila siku!!! sasa hivi wanavaa nguo zangu!!
yesterday
yesterday
yesterday

Wasifu Wangu

Tovuti Yako:
http://cynthia.myphotoalbum.com
Mahusiano:
In a Relationship

Picha za Evacindy

Inapandisha...

Comment Wall (922 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 6:55pm on Desemba 9, 2009, Dismas anasema…
Cyo siri, dada Eve unatisha. Yani bado mbichi kabisa. Nilishindwa kukutofautisha na wanao hahahaaaa

Amani kwako
2po pa1
At 2:06pm on Desemba 9, 2009, IL-YA anasema…
dada humuogopi huyo paka?
At 2:04pm on Desemba 9, 2009, IL-YA anasema…
sister eva.. mambo,napendezwa sana na hii profile yako,umetoka bomba katika snap.siku njema dada we!!
At 1:59pm on Desemba 9, 2009, c anasema…
hahhahahhaha jamani lol unamiaka 200 bado unadai hivo ht ukianza shule ss naona utakubaliwa tu mie niko us na sie ndio makoti kwa kwenda mbele best na snow ina wiki sasa tangu ianze basi balaauwe na siku njema salimia girls
At 4:28pm on Desemba 8, 2009, c anasema…
yaani km fb wangekuwa na last visitor profiles basi mimi kila siku ungeniona kwenye profile lako maana hizo pic zinanifanya niwe chizi kwa kuziangalia kila saa na km ni kulipa kodi basi mie ningekuwa mlipa kodi mashuhuri hahhaha uwe na siku njema mpendwa na thanks 4 add
At 2:57pm on Desemba 8, 2009, Ritha T anasema…
za siku nzuri tu mamii,ila ulipotea hapa wiki mbili tatu.
nimefurahi kukuona tena na na daughterz wako.msalimie sana cynthia.
At 7:28am on Desemba 8, 2009, Samira Majid Seif anasema…
poa sister sie dam dam wasalimie girls
At 8:57am on Desemba 7, 2009, Maingu anasema…
asante kwa kuniamsha ila niko kwa town kitambo sana.
karibu chai na kitumbua.
At 2:00pm on Desemba 3, 2009, Omari Namanji anasema…
mambo niaje dada mzima wewe?????????
At 11:24am on Ocktoba 31, 2009, Omari Namanji anasema…
Je milio imila nalengi
 
 

Besdei za Kuzaliwa

Wazaliwao Leo

Wazaliwao Kesho

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter