FotoBaraza.Net

ichu
  • -kiume
  • Dar es salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 

Marafiki wa Ichu

Makundi ya ichu

 

Yes,she is my wife.

Gifts Received

Gift

ichu has not received any gifts yet

Give ichu a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Majoy left a comment for ichu
Agosti 26
..................................Ramadhani njema............tufunge kama alivyoamlisha mungu .....................nawatakia ndoa njema ya ramadhani ya kukumbukwa........................... '''''''
Agosti 26
ndoa za uji nazo zinapendeza?? lakini zidumu si ramadhani ikiisha na ndoa nazo zinaaisha
Agosti 26
ichu and loveness faith are now friends
Agosti 26
Hiyo sahihi si mchezo kaka unatakiwa umlee mwenzio ktk shida na raha, ok hongereni sana
Agosti 25
Smile kwa wingi hapo,haya vigere vigere.
Agosti 25
ichu walii anataka kukusikia vizuri umekubali???????
Agosti 25
ichu added 5 photos to the album 'WEDDING'
Agosti 24
ichu updated their profile
Agosti 24
ichu updated their profile photo
Agosti 24
Furaha left a comment for ichu
Agosti 10
Agosti 10
Agosti 8
Leila left a comment for ichu
Agosti 8
Agosti 8
Julai 31

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar es salaam
Umri
33
Kazi Unayofanya
student
Namba ya Simu ya Haraka
0716 144399
Anuani ya Barua Pepe
*********
Mahusiano:
Married
Jinsia
-kiume

Picha za ichu

Inapandisha...

Comment Wall (58 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 8:02pm on Septemba 25, 2009, Dunda anasema…
alhaji ssalam mualaykum
kwema lakini?
At 12:10pm on Agosti 27, 2009, Young anasema…

Kiongozi hongera kwa harusi na kila la kheri na maisha ya baraka tele yajayo
At 5:13am on Agosti 27, 2009, Mama Malaika anasema…
Mkwe hongera sana... sasa nasi twaja kuoa mwali wetu.

Mtoto hajambo lakini? Nakutakia ramadhan njema
At 1:38pm on Agosti 26, 2009, Majoy anasema…
Hongera kaka, Mungu awasimamie ktk maisha mapya ya ndoa.
At 8:20am on Agosti 10, 2009, Furaha anasema…
HONGERA
At 8:14am on Agosti 10, 2009, Dr. Stiba anasema…
Kila mara Mungu wetu ni mwema sana haswaa katika kuwajaalia waja wake wakiwa wana nia njema za kutekeleza yale aliyoamrisha, kaka jambo ulilolifanya linastahili pongezi za kutosha, kikubwa nnachowaombeeni ni upendo, amani, furaha na afya njema inshaallah Allah atailinda ndoa yenu na kuwalinda nanyi pia.

Mashaallaah brother, usiache kumshukuru Allah kwa kila neema anayowajaalia, na usisahau hata dkk 1 kumuomba hata kama una kila kitu!

Mdumu katika ibada kwa kufata aliyoamrisha na kuacha makatazo yote.

Shaabani kareem.
At 4:08pm on Agosti 8, 2009, Mama Malaika anasema…
Nawatakieni baraka zote na Mola awabariki. Inshallah
At 11:31am on Agosti 8, 2009, Mtoto mzuri anasema…
Hongera sana mungu awaletee heri kwenye ndoa yenu
At 10:53am on Agosti 8, 2009, Leila anasema…
FOR THE LOVELY COUPLE: ISMAIL AND HALIMA
You choose to share your lives
Together in matrimony
With God as your guide
Always share together
The experiences of life
Through all the ups and downs
Walk together, side by side
Communicate your love
In unselfish ways
Sharing every moment
Beyond your wedding day.
WISH YOU ALL THE BEST IN YOUR MARRIAGE
At 8:38am on Agosti 8, 2009, Don Magere anasema…
Hongera sana kwa kutimiza ndoto yako! na Mwenyezi Mungu awabariki kwa kila kitu katika maisha yenu mapya.
Inshallah.
 
 

Kuhusu

Babukadja Babukadja created this Ning Network.

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter