Kujadiliana na Party wapi na wapi. Mi nafikiri muanzisha mada usingegusia suala la kukutana Tarehe 7/11/2009. na hili ndo limeleta ubishi na kutokuelewana, labda na mimi niungane mkono na Pascal.
Noma sana!!!
Inasemekana the Great kapewa kitu kidogo ndo mana hata kujitokeza humu ndani kuzungummzia issue hii inakuwa ngumu.
Ila ukweli utajulikana kwa namna yoyote, kama kweli the Great CHA hataji, tutatafuta namna ya kutoa ukweli. Kama ulipewa…
Ha ha ha ha Hii kama si ganja la Arusha, litakuwa la Malawi, kama si la Malawi ni kutoka Kingston Jamaica.
Ila sina uhakika.....may be inawahusu watu fulani humu ndani.