FotoBaraza.Net

Elly
  • -kiume
  • DAR ES SALAAM
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Elly

Muziki

Inapandisha...

Makundi ya Elly

Mijadala ya Elly

HUKUMU YA TID
1 Reply

Umeanzishwa mjadala. Mchango wa mwisho na Mkwaya Jul. 28, 2008.

 

Ukurasa wa Elly

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

loveling left a comment for Elly
Mei 16, 2009
loveling left a comment for Elly
Mei 16, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Nipo Dar es Salaam Bongo city nafanya yale ninayoweza kufanya
Umri
Miaka mingi tu imepita tangu nilione jua
Tovuti Yako:
http://patakazi.ning.com
Mahusiano:
In a Relationship
Jinsia
Male

Picha za Elly

Inapandisha...

Comment Wall (33 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 1:52pm on Agosti 26, 2008, Bigambo anasema…
poooowa
At 2:45pm on Agosti 25, 2008, Evacindy anasema…
Jamani asante sana Elly kwa mawasiliano yote na samahani sana kwa kupotea, nitawasiliana na wewe vizuri next week.
I miss barazani sana, baadae basi.
At 7:26am on Agosti 14, 2008, Maggy anasema…
Mambo wala si mabaya kaka Elly Mungu anatuwezesha. Masasi kwema na tunaendelea vizuri sijui nyie wenzetu huko, na hayo uloyasikia ni kweli kunapendeza kwa kweli ila sasa nitashindwa kukutumia picha za huku kwa vile sina camera.

Siku njema
At 7:08am on Agosti 13, 2008, Babukadja anasema…
Mkuu kumbe upo, unajua huwa tunapishan tu humu ndani, vipi mambo yako lakini?

Sie tupo tunasukuma gurudumu la maendeleo mkubwa.
At 8:26pm on Agosti 12, 2008, Dismas anasema…

MySpaceAnimations.com


Humu ndani wazimaaaaaaaa??Mi napita tu.
At 11:33am on Agosti 1, 2008, alma anasema…
***hello,nipo tu mwaga sera zako***
At 1:55pm on Julai 26, 2008, Mtarajiwa anasema…
kwa kweli ni job true true.....! kila kitu ni kompliketedi. Mambo yako vp lakini? Weekend yasemaje?
At 7:31pm on Juni 29, 2008, Mtarajiwa anasema…
Nimevutiwa na picha zako, mzima lakini`?
siku njema
At 8:33am on Juni 18, 2008, alma anasema…
**hapana jamani,nilipata likizo ya dharula.lete mpya me ndo nimerudi rasmi**
At 3:36pm on Juni 2, 2008, Bigambo anasema…
Kaka asante sana, week end ilikuwa bomba na sasa kazi kwa kwenda mbele. Kila la kheri na tuko pamoja
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter