Bado nipo nipo
Aliye lala na Maiti, Siku moja kabla ya mazishi,
na wala siyo mtunza mait, na bado mnanishauri umauti
Eti nijinyonge na katani, wengine nilale barabarani
Nife wakati naona? Mi nikiona nyerere amekufa
Naona kama nimekufa mimi,siyo sekunde kadhaa zijazo ndo mniulize lini
Chorus : Dixon utakufa lini?
Bado nipo nipo kwanza......
Unasema?
Bado nipo nipo Sana.....