FotoBaraza.Net

******************************************************************

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Mama mwambie Denzil akae kimya, kwanza bado mtoto. Chaoga hebu naomba dk 2 tu ili niongee na dada yako. hahahaaaaa. Bomba sana m2 wangu
masaa 14 yaliyopita
Duh! chance hii angeipata Oswd huyo binti angekoma.
masaa 14 yaliyopita
Hahaahahaahaaaaa hii kali
masaa 14 yaliyopita
Halafu ulikuwa na nywele za kuhesabu, sasa hv naona unazo kibao. Huwa unaziwekea mbolea ya samadi?
masaa 14 yaliyopita

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar es Salaam
Umri
.
Kazi Unayofanya
Bondia
Namba ya Simu ya Haraka
.
Tovuti Yako:
http://www.dismas.comli.com
Anuani ya Barua Pepe
dismashiza@hotmail.com
Mahusiano:
Single
Jinsia
-kiume

Comment Wall (1,487 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 2:15pm on Desemba 3, 2009, Astol Mwangomo anasema…
Tuko pa1.
Uwena jioni njema
At 1:50pm on Desemba 3, 2009, Omari Namanji anasema…
kaka upo kweli mbona kimya
nimepita kijijini,nimeona nisiondoke bila
kukusalim ndugu yangu nakutakia mchana mwema
baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 8:33am on Desemba 2, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
sema mzee wa Afro! mzima weee mrembo! ishu vipi! dec hiyo !!! umepanga kumfanyia ..................shoping wapi! hahahahah!
At 11:50pm on Desemba 1, 2009, Juto anasema…
Dismas upo,umeadimika kama mabomu ya osama, salamu zako toka kwa sunche na chepeto,amani kwako
At 4:13pm on Desemba 1, 2009, Omari Namanji anasema…
usiogope 2po pamoja kaka
nakutakia jioni njema baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 2:49pm on Novemba 29, 2009, Sarah anasema…
Shikamoo kaka mwenzio nina shida lini nitakukamata my kaka msaada plzz!1

Mhh nice song asante kwa burudani!!!
At 8:40pm on Novemba 28, 2009, clara anasema…
hahahhahaha nawe masalimie sn wifi
At 2:36pm on Novemba 28, 2009, clara anasema…
uwe na wekend njema best
At 1:58pm on Novemba 28, 2009, Mama Malaika anasema…
Nimepita tena kusikiliza wimbo. Naona twapishana tu mitaani, umemuona Araway anavyopiga chabo? Ha haaa
At 11:45pm on Novemba 27, 2009, Mama Malaika anasema…
Nimepita kusikiliza mwimbo... itabidi nikija hiyo ndio iwe zawadi yangu badala ya matikiti. Ha haa
 
 

Kuhusu

Babukadja Babukadja created this Ning Network.

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter