FotoBaraza.Net

David Nkya
  • -kiume
  • Kwa Wataliban
  • Afghanistan
Shirikisha 
Twitter
  • Blog Posts
  • Mijadala
  • Makundi
  • Picha
  • Photo Albums

Marafiki wa David Nkya

 

Ukurasa wa David Nkya

Gifts Received

Gift

David Nkya has not received any gifts yet

Give David Nkya a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

David Nkya wamebadiliwasifu
Mei 30, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 28, 2009
Mei 27, 2009
Mei 26, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dunedin
Umri
nanihii
Kazi Unayofanya
Mwanafunzi
Namba ya Simu ya Haraka
unreachable
Anuani ya Barua Pepe
davidnkya@yahoo.co.nz
Mahusiano:
Single
Jinsia
-kiume

Comment Wall (15 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 3:45pm on Mei 28, 2009, Neema Mmanga anasema…
David usijali bwana kama wewe sio Pasco basi dont worry just tuendelee na mambo yetu.
Mimi mara ya mwisho nilikuwa Marangu pasaka yaani mwezi wa tatu mwishoni baba
At 2:05pm on Mei 28, 2009, Neema Mmanga anasema…
Ila sijali hatakama ukiwa ni nani mm ni rafiki yako hayo mengine hayana inshu kwangu twende sasaaaah! kwahiyo sasa mambo mengine vipi?
At 2:00pm on Mei 28, 2009, Neema Mmanga anasema…
Pole ila huna lakunidanganya wewe ni Pasco
At 1:12pm on Mei 28, 2009, Neema Mmanga anasema…
Lakini mbona umebadilisha jina? Jina lako zuri la Pasco ndo ninalotaka ulitumie
At 1:02pm on Mei 28, 2009, Neema Mmanga anasema…
wewe mbona unamaneno sana mtu akikataa kurudi kwao namuona kapungukiwa akili,
mimi ni mchaga wa Marangu ila nimelelewa Arusha maeneo ya njiro nanenane. hao rafiki zako waambie sorry kama wewe hutokuja bora wasije maana hawana mwenyeji wakuwapokea mm ntajitokeza ww ukija upo! kwani unaogopa nini ? au haupo makini mana unasafiri kwa meli siyo kwakuogelea mtu hukumbwa na mapapa na manyangumi mwenyewe akitaka tena kwa tahadhari tu naomba uje na wifi yangu mana huku siyo salama kabisa nkya. idadi ya wazuri ndo idadi ya virusi sawa? KARIBU ZANZIBAR
At 12:37pm on Mei 28, 2009, Neema Mmanga anasema…
Kuanzia mwezi wa saba mpaka wa kumi na mbili. unataka kututembelea nini? ukija unitaarifu kabisa nikupikie chakula chakiarusha. Sawa!!!!! mimi nipo salama na kazi il pole kwakibarua chako kigumu chakutaka Tanzania kuwa kijiji. mpoto aliimba anataka nauli aende kwa mjomba akamnongoneze kuhusu mafisadi nauli katumiwa mpaka leo analalamika anadharura hawezi fika unataka kufa nikukose? Shauri yako!!!!!!!!!!!!!!! kazi ngumu hiyo mjombaaaaaaaa!!!!!
At 9:32am on Mei 28, 2009, Neema Mmanga anasema…
ndiyo naishi Zanzibar wewe unaishi wapi?
Nadhani umejisajili kama mwanafunzi unasomea nini na chuogani?
mimi ni mfanyakazi nimeanza kazi miezi 5 iliyopita tu na ninafanya kazi ya tours consultant. lete story
habari ,nyingine vipi?
At 11:41am on Mei 27, 2009, Neema Mmanga anasema…
Vipi wewe mbona upo kimya sana au umezira baby
At 1:57pm on Mei 26, 2009, Neema Mmanga anasema…
poa tu za masomo?
At 11:18am on Aprili 27, 2009, grace minja anasema…
pole na masomo!!!!!! mzima wey!!!!!!!! basi kila la heri
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter