thnx man kwa kunikumbuka mkuu wangu mie nipo siku hizi napatikana sana tbc 1 ni maeneo yangu ya kikazi huko ...... mambo vipi lakini mkuu wangu???? kimyaaaaaaa kamanda au msuli umekukamata maana hampitwi nyinyi.... tehe tehe tehe salaaaaaaaaaam mkuu wangu zifikishe kwa ubavu wako popote pale alipo.........
Nimekusoma ndugu yangu, i wish u all the best kwenye paper,hicho ndicho muhumu sana,kuchart kupo pale pale,ila ukaichezea nafasi ya elimu kwa muda huu!!!!!! Loooooo......u will regrate baadaye....tulichezea elimu those days meeen..thus why now iam safrring.....hvy dont do the same....
Comment Wall (27 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Ona Maoni Yote