FotoBaraza.Net

CHA the Great
  • -kiume
  • Dar Es Salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 

Marafiki wa CHA the Great

Muziki

Inapandisha...

Makundi ya CHA the Great

 

HUMBLE YOURSELF IN THE SIGHT OF THE LORD AND HE WILL LIFT YOU UP!

Gifts Received

Gift

CHA the Great has not received any gifts yet

Give CHA the Great a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Habari CHA na wadau wengine kwa ujumla. Mimi kwa upande wangu mwaka huu nimefurahishwa na mambo mengi sana nayo ni kama ifuatavyo: Nimefunga Ndoa mwezi wa nne Nimekutana na wadau hawa kwa pamoja on my wedding: RT, Bonny, Bigambo, Nicole na Dixon...
masaa 2 yaliyopita
masaa 16 yaliyopita
PamoJah
masaa 19 yaliyopita
masaa 19 yaliyopita
masaa 19 yaliyopita
masaa 19 yaliyopita
BabuKadja inaonesha unafuatilia jambo fulani kwa umakini zaidi.
masaa 19 yaliyopita
masaa 19 yaliyopita
Nicolas, long time no see you man, where in this world have you been hiding youself? Karibu sana katika PamoJah, mawazo yako yanahitajika sana, kwani naamini una kitu ambacho mwingine hana, PamoJah
masaa 19 yaliyopita
Nichangie na mimi juu ya hili. Mchango wangu kwa hili ni kwamba; wanakijiji tuige mfano wa dada Mama Malaika. Ni hayo tu...... Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. But PamoJah We Can God Bless Fotobaraza.
masaa 19 yaliyopita
PAMOJAH NI KUNDI LA KUSAIDIANA..KILA MWANACHAMA ANAWEZA KUPATA MSAADA TOKA KWA WANACHAMA WENZAKE, PALE INAPOTHIBITIKA MWANACHAMA HUYO ANA MATATIZO.. NAKARIBISHA MAONI NA USHAURI. PAMOJAH
yesterday
on Thursday
on Wednesday
on Tuesday
Ufisadi na mambo mengine kama vile usafiri ulivyosababisha kupotea kwa roho za wengi wapendwa.
on Tuesday
Novemba 23
Novemba 22
Novemba 20
Novemba 20
Novemba 19

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
AFRICA
Umri
OLD ENOUGH TO RULE THE WORLD
Kazi Unayofanya
******
Namba ya Simu ya Haraka
+255 655 822 269
Tovuti Yako:
http://www.fotobaraza.ning.com/group/pamojah
Anuani ya Barua Pepe
charlztworld@yahoo.com
Mahusiano:
In a Relationship
Jinsia
-kiume

GET UP STAND UP. BOB MARLEY

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Preacher man, don't tell me,
Heaven is under the earth.
I know you don't know
What life is really worth.
It's not all that glitters is gold;
'Alf the story has never been told:
So now you see the light, eh!
Stand up for your rights. come on!

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Most people think,
Great god will come from the skies,
Take away everything
And make everybody feel high.
But if you know what life is worth,
You will look for yours on earth:
And now you see the light,
You stand up for your rights. jah!

Get up, stand up! (jah, jah! )
Stand up for your rights! (oh-hoo! )
Get up, stand up! (get up, stand up! )
Don't give up the fight! (life is your right! )
Get up, stand up! (so we can't give up the fight! )
Stand up for your rights! (lord, lord! )
Get up, stand up! (keep on struggling on! )
Don't give up the fight! (yeah! )

We sick an' tired of-a your ism-skism game -
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, lord.
We know when we understand:
Almighty god is a living man.
You can fool some people sometimes,
But you can't fool all the people all the time.
So now we see the light (what you gonna do?),
We gonna stand up for our rights! (yeah, yeah, yeah! )

So you better:
Get up, stand up! (in the morning! git it up! )
Stand up for your rights! (stand up for our rights! )
Get up, stand up!
Don't give up the fight! (don't give it up, don't give it up! )
Get up, stand up! (get up, stand up! )
Stand up for your rights! (get up, stand up! )
Get up, stand up! (... )
Don't give up the fight! (get up, stand up! )
Get up, stand up! (... )
Stand up for your rights!
Get up, stand up!

Picha za CHA the Great

Inapandisha...

Comment Wall (618 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 8:27pm on Novemba 29, 2009, Mama Malaika anasema…
Thanks CHA... kwa jinsi ulivyo respond "PamoJah We Can Change The World". I feel honoured my kin brother.
One Love!!
At 2:26am on Novemba 26, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
sema mzee wa Jamaika! mzima ndugu yangu! nimerudi tena mkuu,huu ndyo muda wa kulianzisha shindani lingine kwa ajili ya krismas! dau nataka liwe kilo moja! yaani laki moja~! ila sijajua tuliweke shindano vipi! ila very soon litakuwa hewani~!
At 8:27pm on Novemba 25, 2009, Mama Malaika anasema…
PamoJah We Can Change The World!!
At 2:26pm on Novemba 24, 2009, Elly Elly anasema…
amani iwe nawe Mkuu wa PamoJah
At 11:00am on Novemba 22, 2009, Mabagala anasema…
PamoJah man. tarehe tano au 12 nitakuwa mjini. Nitanunua tshirt nyingi tu za PamoJah. Maria anakusalimia sana
At 10:02am on Novemba 20, 2009, Mm eFrancia anasema…
Amani iwe kwako pia.

Nakutakia mwisho mzuri wa juma.
At 9:19am on Novemba 20, 2009, Dixon anasema…
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
At 7:22am on Novemba 20, 2009, Dada anasema…
PAMOKO KAKA. AAH, PAMOJAH KAKA
At 11:17pm on Novemba 19, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
mzee wa jamanika! nimejichanganya mtu wangu! hii sms ilikuwa iende kwa mtu mzima Dunda! hahahahahahahah
At 11:16pm on Novemba 19, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
sema mtu mzima! inakuwaje kaka! ee bwana sipo kimya ila kwa wiki nzima nashangaa nikikuwa nimepigwa pini hapa kijijini! sielewi tatizo lilikuwa nini! kila nilipo kuwa najaribukuingia naambiwa nipo aborted! ila kwa sasa nipo kama kawa! inakuwaje dec! au ndy uji tena!
At 9:03pm on Novemba 19, 2009, Don Magere anasema…
The great mie mzima kabisa ndugu yangu! Nashukuru kwa kunitembelea mara kwa mara ingawa hukupata makaribisho stahili.
Vipi shughuli zako zinakwendaje hapo?
Uwe na wakati mzuriFuta Maoni
At 7:51pm on Novemba 19, 2009, Mama Malaika anasema…
Nami namfagilia sana tu toka nitie mguu inji hii. LOL....
At 7:34am on Novemba 19, 2009, Mabagala anasema…
Amani iwe kwako pia mkuu CHA
At 6:19am on Novemba 19, 2009, Dismas anasema…
Amani iwe nawe pia m2 mzima, 2po pa1 mwana.

Amani kwako
At 11:30pm on Novemba 18, 2009, Astol Mwangomo anasema…
Amina na wewe ubarikiwe sana
At 10:16pm on Novemba 18, 2009, Dunda anasema…
PAMOJAH KAKA
At 9:00pm on Novemba 18, 2009, Michuzi Jr anasema…
PAMOJAH KAKA
At 10:39am on Novemba 18, 2009, Mm eFrancia anasema…
Poa mi naonekana sasa so mawasiliano kama kwa au vp.

Pamojahhhhhhhhhhhhh.............................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
At 7:45am on Novemba 18, 2009, Dada anasema…
Marhaba mdogo wangu, mzima wewe? Typist hajambo?
PAMOJAH
At 7:32am on Novemba 18, 2009, Mabagala anasema…
Mei mei dei... we are sinking!!! Mkuu PamoJah
 
 

Kuhusu

Babukadja Babukadja created this Ning Network.

Besdei za Kuzaliwa

Hakuna Besdei ya Kuzaliwa leo

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter