FotoBaraza.Net

Bonny
  • Arusha
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 

Marafiki wa Bonny

Makundi ya Bonny

 

Friends are like baloons, once u let them go, they will never come back!

Gifts Received

Gift

Bonny has not received any gifts yet

Give Bonny a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Kweli tusipige chabo young umenibwaga na turbo na engine?
masaa 19 yaliyopita
jamani binaadamu haturidhiki huyo mama alikuwa na dudu washa umesha kuza watt wakubwa bado macho juu
yesterday
Bonny added a discussion
Jana nilikuwa sehemu na marafiki zangu na tulikuwa tukiongelea maisha ya ndoa. Rafki yangu mmoja alisimulia mkasa huu ufuatao ambao ni wa kweli. Bwana mmoja, tajiri kweli kweli, mwenyeji wa Rombo, Moshi, mwenye maskani yake Dar alioa mke wake ambay…
yesterday
on Tuesday
Du, hi kali! Tunakoelekea huko hakuna cha siri tena lol
on Monday
Mtoto Mzuri umri wa watoto hawa haukutajwa ila wote wapo sekondari.
on Monday
Kiswahili fasaha Familiya=familia Msahada=msaada Udhahifu=udhaifu n.k
on Monday
Mh jamani mama huyu sijui nimfananishe na nyumbu? maana nyumbu anakula hadi kumaliza halafu anahamia pengine kutafuta. Ama kweli mtaka yote na saba humpata msiba iko siku ataumbuka. Kitu cha kufanya watoto hawa waende kwenye huduma ya maombi wakamuo…
on Monday

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Arusha, Tanzania
Umri
xx
Mahusiano:
Married
Jinsia
Male

Picha za Bonny

Inapandisha...

Comment Wall (398 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 11:40am on Desemba 3, 2009, Mama Malaika anasema…
Ha haaa... umenichekesha uliposema mzee Sokomoko. Ujue wengine wanaimba hata havieleweki. Ha haaaa
Thanks for photo comments. Ni kweli tumetoka mbali sana, Mabagala alikuwa aniomba niweke picha nilipokuwa mdogo. Ha haa.
Ile picha ya nyumba ya mzungu ni kule Morogoro unapoelekea Mikumi, nje kidogo ya Barabara kuu kuelekea Iringa. Jamaa analima matunda na mboga mboga mwaka mzima, anafuga pia kuanzia kuku wa kienyeji, mbuzi hadi ng'ombe. Yani pale keshafika na alituambia hataki tena kurudi kwao UK. Ujue hilo ndio fundisho kwetu watanzania, if you work hard and you're creative life is so cheap.
At 3:19pm on Novemba 27, 2009, Leila anasema…

At 9:15am on Novemba 20, 2009, Dixon anasema…
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
At 9:14am on Novemba 20, 2009, Dixon anasema…
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
At 11:59am on Ocktoba 1, 2009, Mama Malaika anasema…
Asante sana kwa salamu. Habari ya hapa lakini? Huku kwetu kibaridi ndio kina beep... muda sio mrefu naja unipatie ingalau kimbo mbili nijisikie.. LOL....
Habari ya kazi na family kwa ujumla?
At 10:19am on Ocktoba 1, 2009, Astol Mwangomo anasema…
Asante sana kwa salamu, za Domnadhani zitakuwa nzuri ,Sipo Dom nimesha rudi Ugerumani.
Basi ninakutakia siku njema
At 10:28am on Septemba 30, 2009, Astol Mwangomo anasema…
ok .kumbe ulisha kaaa MIYUJI,Ninafahamu kidogo miyuji.
Napenda Doma kumetulia hakuna Foleni za magari wala uizi wa simu ni Amani tu.ni foleni zu Bank kidogo zina maudhi yake.
siku njema
At 9:12pm on Septemba 29, 2009, Astol Mwangomo anasema…
Lini mara ya mwisho ulikwenda dodoma?uwe na ucku mwema
At 9:40pm on Septemba 25, 2009, Leila anasema…

At 8:29pm on Septemba 25, 2009, Dundazy Baba anasema…
Kwema hapa
nakutakia wiki end njema
 
 

Besdei za Kuzaliwa

Wazaliwao Leo

Wazaliwao Kesho

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter