FotoBaraza.Net

Bigambo
  • -kiume
  • Mwanza
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Bigambo

Muziki

Inapandisha...

Makundi ya Bigambo

Mijadala ya Bigambo

NDUGU WA DAMU NI YUPI?
9 Replies

Umeanzishwa mjadala. Mchango wa mwisho na Mabagala Nov. 13, 2009.

 

Ili uishi unahitaji vitu viwili 1. MUNGU na 2. Watu

Gifts Received

Gift

Bigambo has not received any gifts yet

Give Bigambo a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Desemba 31, 2009
Naomba uniuzie huyo aliyesimama!
Desemba 7, 2009
Desemba 7, 2009
Bigambo ameweka picha:
Desemba 7, 2009
Furaha and Bigambo are now friends
Desemba 3, 2009
picha yanikumbusha watoto wangu na baba yao mara ya kwanza kuona wanyama pale Mikumi.. ilikuwa furaha ya ajabu
Novemba 25, 2009
Simba wengine wanapanda juu mkwe wangu Komredi...
Novemba 25, 2009
Picha nzuri sana hii... nameipenda sana na duma mwenyewe mzee wa mbio
Novemba 25, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Serengeti National Park, Tanzania United Republic
Umri
2
Kazi Unayofanya
Data Manager
Namba ya Simu ya Haraka
+255 784 ... ...
Anuani ya Barua Pepe
macbiga@yahoo.com
Mahusiano:
Married
Jinsia
-kiume

Picha za Bigambo

Inapandisha...

Bigambo's Blog

Bigambo

Tafakari

FISI
Fisi! Fisi! Fisi mnyama wa porini! Fisi hayawani wa porini!
Je unamfahamu mnyama aitwae fisi? Je umewahi kumwona kwa macho?
Kila mmoja wetu nina hakika anamfahamu mnyama fisi, inawezekana kwa kumuona kwa macho na hata kwenye luninga, kusimuliwa na pengine kwa kusikia pia japo kuna ambao wanamfahamu kwa kumfuga? Kwa hakika kama kuna mnyama anasifika kwa kuwa tabia mbaya basi huyo mnyama ni fisi, fisi ndiye alama ya uroho na urafi wa chakula, fisi anaweza kula chakula na kushiba kabisa lakini… Continue

Posted on Mei 29, 2008 at 4:16pm — 3 Comments

Comment Wall (263 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 3:49am on Desemba 31, 2009, cherry anasema…
At 9:13am on Novemba 20, 2009, Dixon anasema…
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
At 11:14am on Novemba 18, 2009, Mm eFrancia anasema…
hahaa habari ndiyo hiyo haha habari ndiyo hiyo, kazi kwanza ili kupata pesa za kulipia mawasiliano.

Kuwa na wakati mzuri.
At 2:40pm on Novemba 13, 2009, Ritha T anasema…
HABARI NDO HIYO
haya nambie kaka huku waja lini tena kusalimia,utoke huko usije ukaangukiwa na maporomoko ya milimani.
At 11:37am on Novemba 13, 2009, Michuzi Jr anasema…
Mkuu salama??

ni muda mrefu sana sijakatiza katika mtaa wako huu,vipi kwema lakini kiongozi??
At 6:52am on Novemba 11, 2009, Ritha T anasema…
mi mzima kabisa,agebiro arungi.
hivi unajua bado najiuliza swali....ulipotea sana jana ndo umeibuka na winnie nae kaibuka?
swali linakuja....je mlikua wote ile likizo ya nanhii?? na kwa nini? kwani wewe ni nanhiii??
At 7:27pm on Novemba 10, 2009, Dunda anasema…
Mimi mzima Bigambo sijui wewe mwana
za siku nyingi?
salam wote
At 1:55pm on Novemba 10, 2009, Mm eFrancia anasema…
Kaka uko mmh umenitupa sana.

nakutakia kazi, siku na wakati mzuri.
At 7:22pm on Novemba 3, 2009, CHIBIRITI anasema…
Aisee ndugu yangu nisamehe sana, maana sikuwa na contact zako kabisa, lakini nakuahidi trip ijayo nitakutaarifu na tutaonana. Nisamehe sana! Nakutakia kila lakheri!
At 12:11pm on Septemba 28, 2009, Ritha T anasema…
ulisema utakuja mjomba,
au tumetengwa na ukuta unataka tuweke daraja?
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter