At 7:25pm on Januari 18, 2009, ibrahim sadiq anasema…
okey hakuna matata keep me in touch from june if god i wish coz on july nitakuwa hapo mungu akipenda tutaonana.
At 11:03am on Januari 18, 2009, ibrahim sadiq anasema…
tuombe mungu coz i plan kuja dar on july kama mungu akipenda keep me on touch from june sawa ila sije nikafunja ndoa kama huko kwenye ndoa coz unaweza ukaulizwa.
Comment Wall (22 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Baridi iko nyuzi ngapi hapo? Hapa TZ joto kali sana, sana, sana. Hadi linakera.
Have a nice weekend !!
cheers
Ona Maoni Yote