Mkuu asante kwa salamu, natumai nawe umzima bukheri wa afya. hofu na mashaka ni juu yako uliye mbali na upeo wa macho yangu. Lengo la waraka huu ni kutaka kukujulia hali na kukutakia siku njema yenye baraka na fanaka tele. Pia usisahau kunywa Malta Guiness au Vita Malta, kama ni ya kopo basi jitahidi uwe unakunywa kwenye glasi, maana hayo makopo wakati mwengine yanakuwa na kemikali hatari sana ambayo itapunguza umri wako wa kuishi.
Ndomaana kuku wangu walikuwa hawapungui bandani, kumbe ulictisha kuja kwangu kwa muda. Sasa jogoo langu lile kubwa silioni tena baada ya ww kupita jana hahaahahaaa. Amani kwako mkuu, msalimie mkeo.
At 2:05pm on Novemba 25, 2009, Don Magere anasema…
Umenichelesha sana na saaamu zako za giza.Umesahu umemi wa "Black is beauty?" namia nongezea dark is beauty!
mzima kabisa lakini na familia yako?
siku njema nakutakia.
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
At 4:31pm on Novemba 17, 2009, Mama Malaika anasema…
Habari ya siku tele? Nimepita kuacha baraka
At 10:12am on Novemba 17, 2009, ladymwana anasema…
Hahahahahaaaaa hv we jamaa kwa nn uliamua kukaa nyuma ya huyo binti ulipopiga nae picha? Kwa nn uckae mbele yake, halafu yeye ndo akae nyuma yako? Halafu ukamsogeza karibu yako saaaana (zero distance), huku unahema juu juu hahahaaaaa. Ww ni naomaa. http://fotobaraza.ning.com/photo/alfan-kweli-ulikuwa-kubwa-la?context=latest