FotoBaraza.Net

Adelard
  • -kiume
  • Zion
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Adelard

Makundi ya Adelard

 

Ukurasa wa Adelard

Gifts Received

Gift

Adelard has not received any gifts yet

Give Adelard a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Hao jamaa naona wanachukulia Maisha kirahisi sana. Sijui ni Dini imekua pungufu?
Julai 1, 2009

Wasifu Wangu

Mahusiano:
Single

Picha za Adelard

Inapandisha...

Comment Wall (28 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 5:57am on Agosti 1, 2008, Babukadja anasema…
Nimefurahi bado uko pamoja na sisi mkuu. Tulianza kupata wasiwasi labda kijiji kimekushinda umeamua kurejea jijini. Basi tuendelee kuwa pamoja mkuu.

Kesho kikao cha YATIMA WETU pale kijiji cha makumbusho kuanzia saa nane machan.

Pamoja mkuu!
At 10:02am on Julai 31, 2008, happed anasema…
hello brazer vipi mbona kimya mtu wangu hata kujuliana hali acha hizo basi tuwe na umoja mtu wangu big up!!! usiwe kimya sana basi broo ok! "KILIMANJARO"
At 12:46pm on Julai 29, 2008, Meshack maganga anasema…
mkuu mbona ulipotea hivyo au unadili nyingi tuambiane mimi nip likizo Iringa
At 4:33pm on Julai 25, 2008, happed anasema…
Nashukuru kwa kunikubali kama rafiki yako, asante.Tupeane ushauri.
At 2:49pm on Julai 24, 2008, Babukadja anasema…
Mkuu mbona kimya sana, mitkasi inakwendaje lakini?
At 10:16pm on Mei 25, 2008, scorpa anasema…
hi, hiyo picha nilipiga jioni tu kabla jua kuzama..
At 12:20am on Mei 21, 2008, Evacindy anasema…
Thanks bro for your comments!!!
That was sweet of you!!!!!!!!!!!!!!!!!
At 6:18pm on Mei 19, 2008, Evacindy anasema…
Yes nitafanya mpango niende very soon!!!!
Ciao for now keep in touch!!!!
At 1:10am on Mei 19, 2008, Evacindy anasema…
Asante bro, lakini biashara lazima niwe huko, sijui hata duka likoje sasa hivi, walishaniibia sana ndio maana nina mpango wa kuja huko ili niweze kupanga mwenyewe!!
Asante kwa kuwa pamoja, and yes endelea kutesa!!
At 3:04pm on Mei 15, 2008, Evacindy anasema…
Yes lakini mimi nauza zaidi za watoto, ninazo za watu wazima chache but mlango wa pili kuna duka la dada yangu yeye anauza nguo za watu wazima!!
We endelea kutesa tuu lol ha ha ha haa!!
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter