FotoBaraza.Net

Rating: 0/5 stars
Imeonwa: 77

Shirikisha  Twitter

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FotoBaraza.Net ili Kuweka Maoni

Jiunge na mtandao jamii huu

Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Novemba 7, 2009 8:33pm
ngoja wenye chakula chao wakuone...
mujydebubyz Maoni na mujydebubyz saa Ocktoba 26, 2009 2:25pm
samaki nchanga
KIWINGA jr Maoni na KIWINGA jr saa Ocktoba 11, 2009 7:19pm
niaje luc wa mamamaaaaaaaaaaaaaaa nini tena mbona fimbo mkononi unaenda kuwinda nini?
Jacqueline Maoni na Jacqueline saa Septemba 23, 2009 11:32am
lucy hv arusha kunakiwanda cha kuzindika panya au ndo hcho hapo
Jacqueline Maoni na Jacqueline saa Septemba 23, 2009 11:31am
nyama nyama nyama...ya kuku nyama ya panyaaaaaaaaaaaaa...lucy jibu
ed Maoni na ed saa Septemba 15, 2009 2:39pm
Weka maelezo chini ya picha hiyo kufahamisha kwamba humtesi huyu "mbuzi wako" ili watu wakuelewe! Vinginevyo watakutafuta wahusika!!!
Lucie wa mama Maoni na Lucie wa mama saa Septemba 15, 2009 2:18pm
Ed jamani mi sijamtesa mwacheni tu kwanza hapo alikuwa ameshiba sasa anataka acheue,
sa kwann nisimpe tizi hadi acheue? au basi niitoe hii picha?
ed Maoni na ed saa Septemba 15, 2009 1:08pm
Yaani bora umuue kuliko kumtesa hivi hai!
ed Maoni na ed saa Septemba 15, 2009 1:06pm
Nooo! We Lucie wacha mambo hayo! Jamani kama huu si ukatili ni nini lakini? Yule mbwa ulimfunga "chain" fupi. Huyu "mbuzi wako" nae una mning'iniza hivi. We jaribu kujiuliza kama wakikutundika hivi utajisikiaje? Kama amekula maua yako na una uhakika basi chukua uamuzi wa busara si kumtesa hivi. Hii wahusika wanaita "animal cruelty" wakiiona picha hii watakutafuta! Uzuri wako Lucie hauandamani na kitendo hiki bibie! Have fun but dont be cruel! Hugs!
Byanaku - Chui Mfalme Maoni na Byanaku - Chui Mfalme saa Septemba 15, 2009 12:00pm
huyu mdudu ana protini nyingi sana ki taalamu wale watu wenye upungufu wa protini wanashauriwa kula panya buku......kama hutaki basi

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter