FotoBaraza.Net

Ingawa nimechoka tayari

Rating: 0/5 stars
Imeonwa: 53

Shirikisha  Twitter

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FotoBaraza.Net ili Kuweka Maoni

Jiunge na mtandao jamii huu

Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Novemba 7, 2009 8:37pm
Ntakuletea Malaika hapo ofisini ili usichoke, sijui boss wako atakubali?
Jacqueline Maoni na Jacqueline saa Septemba 23, 2009 11:33am
kamua mama maisha yenyewe ndo haya, heshimu sana kazi yako mama ....kila kaheri
Kisusi Maoni na Kisusi saa Septemba 7, 2009 1:04pm
Utu uzima huo dada, wala usichoke mpaka kieleweke!
Lucie wa mama Maoni na Lucie wa mama saa Septemba 7, 2009 12:22pm
meno yameoza lol..
Asante wifi, kakangu atanileta
Dunda Maoni na Dunda saa Septemba 5, 2009 1:52pm
Piga mzigo lakini tunahitaji kuona meno japo kidogo
Sarah Maoni na Sarah saa Septemba 4, 2009 8:44pm
Pole mrembo wetu wknd hii njoo tujiachie mwayego!

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter