FotoBaraza.Net

Rating: 0/5 stars
Imeonwa: 101

Shirikisha  Twitter

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FotoBaraza.Net ili Kuweka Maoni

Jiunge na mtandao jamii huu

Mama Elizabeth Maoni na Mama Elizabeth saa Januari 5, 2010 2:01pm
abeeeeeeeee dada candy... nimeona kama unaniita vile
Omari Namanji Maoni na Omari Namanji saa Ocktoba 28, 2009 3:46pm
mambo vipi mlembo
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Ocktoba 23, 2009 7:11pm
???????
Alfan Maoni na Alfan saa Ocktoba 23, 2009 5:16pm
Duh, mtuwangu unaniweka pabaya sana!
Oswald Jonh Akyoo Maoni na Oswald Jonh Akyoo saa Ocktoba 2, 2009 8:33am
La! haula! midomo yako sasa! sijui! hivi Dismas hajaionaga hii picha! si mchezo!
Majoy Maoni na Majoy saa Julai 3, 2009 3:27pm
umependeza sana mamii wala huna haja ya mazoezi labda tu u-maintain usizidi hapo.
cherry Maoni na cherry saa Juni 29, 2009 5:22pm
Bado uko fit wala usiingie pressure.
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Juni 29, 2009 1:56pm
Angalia mashavu yalivyonona na shingo...
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Juni 29, 2009 1:55pm
Usiponguze hata kidogo... mwanamke mbantu apendeza akiwa na nyama sio mifupa Candy.
Mabagala Maoni na Mabagala saa Juni 29, 2009 7:27am
mbona mi sioni ubonge wowote?

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter