FotoBaraza.Net

Rating: 0/5 stars
Albamu: lady
Imeonwa: 50

Shirikisha  Twitter

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FotoBaraza.Net ili Kuweka Maoni

Jiunge na mtandao jamii huu

Mama Elizabeth Maoni na Mama Elizabeth saa Desemba 23, 2009 1:20pm
cwity of mine...umependeza ile mbaya...moko love
KIRINGO Maoni na KIRINGO saa Novemba 13, 2009 11:09am
umependeza sana bibie!!
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Novemba 11, 2009 4:44pm
Umependeza sana mkwe wangu..
araway Maoni na araway saa Novemba 11, 2009 8:01am
jr kweli nimeingia chochoro mh! naona aibu kweli nimekumbuka yule ni glory cobas hahah.asente
Dismas Maoni na Dismas saa Novemba 11, 2009 6:31am
Bomba sana mdada. Amani kwako
Lucie wa mama Maoni na Lucie wa mama saa Novemba 10, 2009 1:53pm
U look mwaaaaaaaaaaa
Michuzi Jr Maoni na Michuzi Jr saa Novemba 10, 2009 10:24am
ila umetoka chicha sana bibie.
Michuzi Jr Maoni na Michuzi Jr saa Novemba 10, 2009 10:24am
Araway mbona unachanganya madawa???huyu sio yule alieweka kile kidude shavuni.huyu ni mwanadafada Lady Mwana,alikuja na Botinyo siku ile.
Alfan Maoni na Alfan saa Novemba 9, 2009 4:59pm
hahahahahhahaa! Hatimaye umeweka picha!
Umetoka vizuri sana!
araway Maoni na araway saa Novemba 9, 2009 3:59pm
lady mwana umependeza dada! naona kile kinelly shavuni hauna hapa!

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter