FotoBaraza.Net

Rating: 0/5 stars
Imeonwa: 68

Shirikisha  Twitter

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FotoBaraza.Net ili Kuweka Maoni

Jiunge na mtandao jamii huu

Cat Wa Ukweli. Maoni na Cat Wa Ukweli. saa Novemba 12, 2009 12:06pm
maneno tu hayo wapendwa,ha ha haaaaaaaaaaa
Byanaku - Chui Mfalme Maoni na Byanaku - Chui Mfalme saa Novemba 12, 2009 8:52am
@MAMA malaika baada ya kazi ya usiku kucha ya U BORDGUARD kwa muheshimiwa wetu kutoka kutoka UNGUJA hapo ndipo nilipopata nafasi ya kulala walaukwa dakika kumi........lol kazi ilikuwa ngumu sana
Dismas Maoni na Dismas saa Novemba 12, 2009 7:15am
Hahahahahaaaa Mama acha kunivunja mbavu. Atashikwa ugoni na nani?
Sarah Maoni na Sarah saa Novemba 11, 2009 7:51pm
Mhh baada ya kikao au???? Pole na kazi my kaka hehhehheh
Mabagala Maoni na Mabagala saa Novemba 11, 2009 5:18pm
Hahahaaaa, ashikwe ugoni wapi tena Mama Malaika?
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Novemba 11, 2009 4:37pm
Chui mfalme umejimwaga... ukishikwa ugoni hapo sijui utasemaje?
Lucie wa mama Maoni na Lucie wa mama saa Novemba 11, 2009 4:07pm
kweli?
Byanaku - Chui Mfalme Maoni na Byanaku - Chui Mfalme saa Novemba 11, 2009 3:45pm
krooooooooooooooo

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter