dismas tafaadhali mkuu usipite mitaa yake na baiskeli yako sababu sikuamoni hata chembe, chaoga umenifurahisha mkuu two dayz umekaa nacho kitu hukioni hahaha byanaku anaulizia ulipomuacha yule abiria akija tena umwonyeshe njia!
Araway umefanya vizuri kujitambulisha mapema kuwa hilo ndo ua lako. Mzee nahic ulisomea kuchuma maua mazuri, kitu kimetulia balaa. Halafu ana kale kakitu ninachokapenda cha kubonyea mashavuni. Kudadadeki hivi nitakula kwa macho hadi, ngoja nichukue baiskeli yangu nianze kuzurura hadi na mm nimpate hahahahaaaa
Lazima Uwe Mdau wa FotoBaraza.Net ili Kuweka Maoni
Jiunge na mtandao jamii huu