FotoBaraza.Net

SOKONI

Bonyeza HAPA kucheki tovuti yao.

Huu ni ukurasa ambao mdau anayeuza au anayetaka kununua kitu au huduma anaruhusiwa kuweka tangazo dogo hapa. Andika tangazo lako hapo kwenye eneo la maoni, weka picha (isiwe kubwa sana, ili ifunguke kwa haraka) na uchapishe tangazo lako. Nia na madhumuni hapa ni kuhakikisha tunapunguza machungu ya madalali. Kila la Heri.

15 Comments

Herieth Maoni na Herieth saa Agosti 14, 2008 12:48pm
Wanablog kwa mahitaji ya nyumba za kupanga, kuuza au kununua maeneo ya Mikocheni, Masaki, Msasani na Kinondoni wasiliana nami kwa namba 0715 504343, 0782504343, 0773 295716 0754 295716
kwere Maoni na kwere saa Agosti 15, 2008 2:42pm
Nauza Komputa desktop full system. Pentium3, iko katika hali nzuri. iko maeneo ya ubungo. Kwa mwenye mahitaji nitwangia kwa simu no: 07860746466. Bei maelewano. nyote mnakaribishwa.
abraham makinda Maoni na abraham makinda saa Agosti 19, 2008 1:12pm
mtaalamu wa kudizaini Logo, leaflets, brochures, posters, business cards, matangazo, pia ninaandika makala za publicity,na hotuba. Wasiliana nami kwa simu 0717-081415
dachi.com Maoni na dachi.com saa Novemba 16, 2008 10:01pm
natafuta nyumba yakununua hasa maeneo ya magomeni yoyote ilimladi iwe magomeni...mwenyekufahamu basituwasiliane kwanamba hii........+90554444885656
yahya Maoni na yahya saa Novemba 25, 2008 4:13pm
nauza gari aina isuzu trupper.inatumia petrol.ipo katika hali nzuri.mwenye kuhitaji kwa mawasiliano zaidi 0784/0715-517505.
Arapha Maoni na Arapha saa Desemba 24, 2008 1:40pm
Nauza aina tofauti za germstone especially Tanzanite top colour kwa mawasiliano allyarapha@live.com
MARK Maoni na MARK saa Januari 4, 2009 11:50am
natafut kazi y kuchonga gemstone km unaniitaji namba 0713313385
ibrahim sadiq Maoni na ibrahim sadiq saa Januari 9, 2009 12:04am
kwa mahitaji wa gari used plz chek with me
johngwakisa Maoni na johngwakisa saa Januari 9, 2009 9:59pm
Anybody mwenye Gemstones na madini yoyote anaweza wasiliana nami by johngwakisa@yahoo.com
I have serious Chinese buyers
www.houseofglamourtz.com Maoni na www.houseofglamourtz.com saa Januari 18, 2009 1:13pm
Tunakodisha mahema, viti, dance floor, makapeti, taa za kisasa, michezo ta watoto na bouncer castles kwwnye pati za watoto n.k. Wasiliana nasi kupitia 0788 90 5001 na 0717 05 5071 au tembelea tovuti yetu www.houseofglamourtz.com. KARIBUNI SANA
MaryAnn Maoni na MaryAnn saa Juni 10, 2009 10:07am
Nama Zone Internet and Gaming Café

A unique Internet and Gaming cafe based in Arusha, which is more than just internet. It boasts 12 flat screen computers, 3 x-box 360, 1 PS3, 4 PS2 and 4 original x-boxes, making it truly one of its kinds.

In addition NamaZone offers: stationery, photocopy, lamination, binding, design and secretarial services.

Contact:
Nancy Maksud
Namazone
Arusha - Sokoine Road -

Shoprite/TFA Complex Tel: Office: +25527 2548414 or +255 254 7133
Cell: +255 754 397366
Email: mwezine@yahoo.com

OPENS DAILY
Monday to Saturday 8.30 am – 6.30 pm
Sundays/Public Holidays 9.00 am – 5.30 pm

Karibuni Sana!!
MaryAnn Maoni na MaryAnn saa Julai 7, 2009 3:06pm
NAMAZONE INTERNET CAFÉ
“Zaidi ya Internet”

MPYA NA YA KISASA.

NamaZone ni Internet ya hali ya juu, inayotumia computer za kisasa zenye screen bapa.

Tuko makini na rahisi kukuwazesha kupata mawasiliano ya kimtandao kwa sekunde chache.

Tuna wahudumu safi waliobobea katika fani zote za kimtandao, wenye kuwaongoza na kuwawezesha wateja wasio na uzoefu katika matumizi ya Internet. Pia tunatoa mafunzo ya awali ya Elimu ya Computer na jinsi ya kutumia Internet.

Kwa wale wapenzi wa michezo njoo ujiliwaze na x-box gaming na playstation3 (michezo kama: fifa‘09, miereka, mbio za magari, na cinema za kivita, na nyingine nyingi.)

Pia tunatoa huduma kama: photocopy, stationery, CD-burning, scanning, binding, fax, lamination, utengenezaji wa kadi za aina mbalimbali na huduma zote za secretarial.

Tunapatikana ndani ya jiji la Arusha katika jengo la TFA/Shoprite/upande wa magharibi gorofa ya kwanza. Pia na upande wa Mashariki jirani na Barclay’s Bank.

Kwa mawasiliano:
Shoprite/TFA, East and West Wing,
Tel: (027) 2548414/(027) 2547133
Or Cell: 0754 397 366/ 0784 747 790
Email: mwezine@yahoo.com

WOTE MNAKARIBISHWA!!!!

DJ RIKY Maoni na DJ RIKY saa Agosti 10, 2009 7:51pm
hi there guys, im Dj Riky of magic fm 92.9, and this is my 1st visit to this web site and its very nice, im hoping to make some real nice friends from all over, pls mail me on my personal email add...
Innocent Shayo Maoni na Innocent Shayo saa Agosti 27, 2009 11:26am
Kwa Mahitaji ya Nyumba ya kununua maeneo ya Ilala Arusha Street, Na Kijitonyama Karibu na Makumbusho Wasiliana Nami 0786-143559
Innocent Shayo Maoni na Innocent Shayo saa Septemba 3, 2009 5:54pm
BLiss.com (CHANGING LIFESTYLE) Box 77232
Kimweri Avenue,
Along LaTrattoria Jan,
Dar es Salaam, Tanzania.
Cell: +255 22 744431 135/718 131 027.
Email: blissdotcom@gmail.com

Deals inn:
RECRUITMENT & CLEANING AGENCY.

Kuhusu

Babukadja Babukadja created this social network on Ning.

Create your own social network!

Besdei za Kuzaliwa

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create Your Own Social Network

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter