
Nimekuwa nikiumizwa kichwa sana na tetesi kuwa kuna dawa/ sindano za kuongeza ukubwa wa baadhi ya viungo vya wasichana/ wanawake hasa hips na mawowowo. Nashindwa kujua kama ni kweli au c kweli, hebu nitoeni ushamba wa2 wangu nisije nikauvaa mkenge: 1) Niambie kama ni kweli hizo dawa/ sindano zipo. 2) Wapo wasichana wa kibongo wanatumia? 3) Je nitamjuaje msichana ambaye anatumia na asiyetumia? Wat…
© 2009 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!