FotoBaraza.Net

Young

FOTOBARAZA FOUNDATION

Maelezo

FOTOBARAZA FOUNDATION

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Huu ni mfuko wa kuchangia kimawazo na chochote kitu kwa watanzania wote wenye kuhitaji msaada wetu wa hali na mali kama vile yatima,maalbino,wanawake wenye matatizo,wazee,vilema na kusaidia jamii yote kwa ujumla.

Wadau: 79
Latest Activity: Dec. 10, 2009

Uwanja wa Mijadala

Young

Wadau wa UK kukutana kupeleka mbele gurudumu la Fotobaraza Foundation 1 Reply

Umeanzishwa na Young. Mchango wa mwisho na Mama Malaika Dec. 10, 2009.

Babukadja

TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU 8 Replies

Umeanzishwa na Babukadja. Mchango wa mwisho na Oswald Jonh Akyoo Jun. 11, 2009.

john mwakyusa

MAONESHO YA PICHA ZA YATIMA WETU 4 Replies

Umeanzishwa na john mwakyusa. Mchango wa mwisho na Maingu Jan. 27, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FOTOBARAZA FOUNDATION ili Kuweka Maoni

Meshack maganga Maoni na Meshack maganga saa Julai 12, 2008 12:22pm
wadau,tuzidi kuwaombea na vitendo pia hawa ndugu zetu
Mtarajiwa Maoni na Mtarajiwa saa Julai 3, 2008 1:26pm
Habarini za leo?,
Kua siku moja tulikuwa na mjadala kuhusu misaada kwa walemavu au watoto yatima (rejea kiatu kimoja).... Nina wazo jingine tena, sijui kama limeshawahi kuongelewa humu, hasa kwa sisi tulio na watoto, tunaonaje kama tukikusanya nguo ambazo hatuzitumii kwa watoto wetu, tukasaidia yatima wetu nyumbani? mbona mitumba ni jambo la kawaida kabisa Tanzania? mnaonaje hili wapendwa?
Maggy Maoni na Maggy saa Julai 1, 2008 12:29pm
penye nia pana njia, ni hivi wadau kama mmeonelea kuunda kitu kama hiki ambacho ni chenye manufaa makubwa sana kwa Taifa letu hakika tutakuwa tumefanya jambo la maana sana kuwasaidia hawa ndugu zetu, maana msaada wetu unahitajika kwao. Tuwe bega kwa bega katika kuwasaidia wapendwa hawa
Husna Maoni na Husna saa Juni 30, 2008 9:28am
kaka young nakubaliana sana na swala hilo. Ni honorable sana kwako kuweka group hii...niko na wewe.
Vile vile naomba nikuulize swali moja, I hope you won't mind: kitu gani haswa kinafanyika au kinapangwa kifanyike katika kuwasaidia hawa watoto...tukiacha maongezi yetu na masikitiko mengi?
Tunataka kujenga shule, family house ya watoto, sehem ya kucheza au kuwasaidia kwa chakula, vitabu na mavazi.

Kuna mipango gani??
Young Maoni na Young saa Juni 30, 2008 12:57am
Mr david swala la uongozi haliko kabisa kichama au kiupendeleo na ndio maana tumeweka mjadala mwenye kutaka nani awepo aseme au nini kifanyike kwa kifupi hao tuliowapendekeza wengi wako nyumbani (Tanzania)na baadhi ya washauri wako nje ,kwa hiyo kama kunaupungufu au kuna mtu hatuna imani nae basi maoni yako wazi na yanakaribishwa sana au nini kifanyike, wanafotobaraza mawazo yetu ndio yanahitajika ktk kufanikisha swala zima hili
Haki Ngowi Maoni na Haki Ngowi saa Juni 29, 2008 12:09pm
Young nimefika hapa, asante kwa habari hiii.. naandaa ajenda nije kuwasilisha rasmi...
Young Maoni na Young saa Juni 28, 2008 2:09pm
penye wengi akialibiki kitu na penye wakubwa ubora una zidi sasa bob karibu sana ,mlezi wa mfuko na mawazo yako yanahitakika kwa nguvu zote
Meshack maganga Maoni na Meshack maganga saa Juni 28, 2008 8:05am
Wadau hiyo kweli kabisa ,jamani tuunde mtandao utakao weza kuwasaidia hawa ndugu zetu,tupo tayari kutoa michango ya hali na mali,pamoja na umasikini wetu.
Young Maoni na Young saa Juni 27, 2008 12:24pm
mr luihamu sawa kabisa na kamati itakuwa na mwenyekiti na makamu mwenyekiti,katibu wa mfuko na mweka hazina ,hao watu watatusaidia kufika kule tunakotaka kwa kila hali na penye nia pana njia,nashauri mwenyekiti ms mkwaya,makamu mwenyekiti mr chaoga na katibu& mweka hazina hapo msaada tujadili,na wanachama wote ni watoa ushauri na maoni kwa jumla,naomba kuwakilisha
Young Maoni na Young saa Mei 30, 2008 11:52am
mzee wa digital na wadau wote ukiangalia hapo juu utaona kuna mijadala ya nini tufanye na kufanikisha dhamira yetu changia basi tuone inakuwaje ktk kufanikisha swala zima la kusaidiana
 

Wadau (79)

Young Michuzi Jr EDO NDAKI Mama Malaika Mkwaya Bonny Babukadja Maingu mujydebubyz Don Magere john mwakyusa Ritha T Meshack maganga Alfan araway Evacindy Bigambo milya Father Kidevu komredi KITOJO ANGEL NEHEMIAH Rugambwa james jingo Lucky Ekonjo ringomoses Helen Mipawa Cat Wa Ukweli. ANJELA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter