FotoBaraza.Net

Young

FOTOBARAZA FOUNDATION

Maelezo

FOTOBARAZA FOUNDATION

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Huu ni mfuko wa kuchangia kimawazo na chochote kitu kwa watanzania wote wenye kuhitaji msaada wetu wa hali na mali kama vile yatima,maalbino,wanawake wenye matatizo,wazee,vilema na kusaidia jamii yote kwa ujumla.

Wadau: 79
Latest Activity: Dec. 10, 2009

Uwanja wa Mijadala

Young

Wadau wa UK kukutana kupeleka mbele gurudumu la Fotobaraza Foundation 1 Reply

Umeanzishwa na Young. Mchango wa mwisho na Mama Malaika Dec. 10, 2009.

Babukadja

TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU 8 Replies

Umeanzishwa na Babukadja. Mchango wa mwisho na Oswald Jonh Akyoo Jun. 11, 2009.

john mwakyusa

MAONESHO YA PICHA ZA YATIMA WETU 4 Replies

Umeanzishwa na john mwakyusa. Mchango wa mwisho na Maingu Jan. 27, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FOTOBARAZA FOUNDATION ili Kuweka Maoni

Mkwaya Maoni na Mkwaya saa Julai 21, 2008 9:14pm
tukiwa pamoja, tukinia mamoja na kwa nguvu moja, hakuna lisilowezekana kwa masaada wake atutiae nguvu... mshikamano daimaaa.. jiungeni tuwe wa msaada penye uhitaji
Ahmad issa michuzi Maoni na Ahmad issa michuzi saa Julai 21, 2008 5:39pm
chini ya jua hakuna linaloshindikana,kikubwa ni kuweka nia ya dhati na kuamua kwa tunachotaka kufanya.Hii ni muhimu tukafanya hivi kwa kuwasaidia baadhi ya ndugu zetu kupitia mfuko huo ambao kwa njia moja ama nyingine utaweza kuleta matumaini mapya kwao hata kama sio milele lakini japo kwa wakati fulani,kwa kusema hayo nami naunga mkono katika hili LIBENEKE lazima liendelezwe na kuwa mfano hata kwa wengine
Joseph Maoni na Joseph saa Julai 21, 2008 10:23am
nimekuja!!!
Aysha Maoni na Aysha saa Julai 20, 2008 12:18pm
habari zenu shikamonii,ni hivi sijuwi mumefikia wapi jamani lakini kama tayari mmeshaanza kuchangia mchango naomba mnijulishe hili nilichokuwa nacho nitowee,then inakuwaje huu mchango ni kila mwezi auu ukiwa nacho tuu unatowa kwa mwaka mara moja au inakuwaje???jengine watoto wa sehemu gani ndio tutawafariji.sina mengine cya
Young Maoni na Young saa Julai 18, 2008 7:47pm
mr Yassin bado ujachelewa kwani hata mchango bado hatujaanza kukusanya so muda bado tunao,na mambo ya utendaji na uongozi ndio vinafanyiwa kazi
Michuzi Jr Maoni na Michuzi Jr saa Julai 15, 2008 2:11pm
Luihamu na Young tuko pamoja nanyi mwanzo hadi tutakapofikia.
na nitakuwa pamoja nanyi kwa lolote lile juu ya swala hili

pamoja kijiji cha FOTOBARAZA.
KITOJO Maoni na KITOJO saa Julai 15, 2008 1:55pm
mfuko huu ni mzuri sana na nimeufurahia sana kwani ukipita mitaani mida ya usiku unaweza kulia watoto wanahangaika wana lala pembezoni mwa barabara ni hatari sana. na itatia huruma. sasa nina jambo moja natakuuliza huu mfuko unafanya nini juu ya hawa watoto na mchango hasa wanaoupata hao watoto yatima ni upi kupitia fotobaraza mfuko wa watoto yatima. na inawasaidia watoto wa sehemu gani na wapo eneo gani. kazi njema
Babukadja Maoni na Babukadja saa Julai 15, 2008 12:42pm
Naomba;
1. Tuweke wazi ni kituo gani tutasaidia, tuanze na kimoja kwanza
2. Ichaguliwe timu ndogo ya watendaji, nashauri wasizidi watu watano, vinginevyo itakuwa fujo tu.
3. Tusaidiwe kufahamu kwa haraka tuwasilishe vipi michango yetu.

Ni hayo tu kwa sasa.
Chaoga Tonge Maoni na Chaoga Tonge saa Julai 15, 2008 9:57am
mtarajiwa nadhani mawazo yako yanalingana na mimi, majuzi nilitoka kidogo nje ya mji niakakutana na watoto wadogo wengi wao hawana viatu wanatembea peku na mavazi yao kwa kweli hayawasitiri itakiwavyo nikifikiria mwanangu nguo zake zengine hata sijui kama hata alishawahi kuzivaa, sasa kama ningepata mahali ambako ningezipeleka na zikawasaidia watoto wengine wa umri wake ambao wazazi wao hawana uwezo au hawana kabisa wazazi, yaani kwa kweli ni mengi sana ninayo moyoni kiasi kwamba ninavyoendelea kuandika hivi moyo wangu unaingia simanzi.
aloyce Maoni na aloyce saa Julai 15, 2008 9:26am
kwa kweli wadau nilikuwa sijajiunga humu, ila maneno ya leo ya babukadja yameniingia kweli kweli. Hivi karibuni nilikuwa kigoma na nimeona watu masikini ambao wanahitaji kweli msaada wa watanzania wenzao. Kwa kweli sina namna zaidi ya kujiunga humu na niko tayari kuwasaidia kwa namna yoyote ambayo wanakundi tutapendekeza.
 

Wadau (79)

Young Michuzi Jr EDO NDAKI Mama Malaika Mkwaya Bonny Babukadja Maingu mujydebubyz Don Magere john mwakyusa Ritha T Meshack maganga Alfan araway Evacindy Bigambo milya Father Kidevu komredi KITOJO ANGEL NEHEMIAH Rugambwa james jingo Lucky Ekonjo ringomoses Helen Mipawa Cat Wa Ukweli. ANJELA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter