FotoBaraza.Net

Young

FOTOBARAZA FOUNDATION

Maelezo

FOTOBARAZA FOUNDATION

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Huu ni mfuko wa kuchangia kimawazo na chochote kitu kwa watanzania wote wenye kuhitaji msaada wetu wa hali na mali kama vile yatima,maalbino,wanawake wenye matatizo,wazee,vilema na kusaidia jamii yote kwa ujumla.

Wadau: 79
Latest Activity: Dec. 10, 2009

Uwanja wa Mijadala

Young

Wadau wa UK kukutana kupeleka mbele gurudumu la Fotobaraza Foundation 1 Reply

Umeanzishwa na Young. Mchango wa mwisho na Mama Malaika Dec. 10, 2009.

Babukadja

TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU 8 Replies

Umeanzishwa na Babukadja. Mchango wa mwisho na Oswald Jonh Akyoo Jun. 11, 2009.

john mwakyusa

MAONESHO YA PICHA ZA YATIMA WETU 4 Replies

Umeanzishwa na john mwakyusa. Mchango wa mwisho na Maingu Jan. 27, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FOTOBARAZA FOUNDATION ili Kuweka Maoni

Maingu Maoni na Maingu saa Julai 23, 2008 9:48am
hodiiii hodii,nifungulieiienii.....
inatia moyo sana kuona bros and sistars kuwepo katika nyumba hiii.nami nimevutiwa sana na hii kitu ndio maana nimebisha hoooodi kubwaa hapo mlangoni.bila hivyo waweza usisikiwe na waliomo ndani,labda wako kwenye kikao.
pamoja kama kawa.
na kikao kijacho msinikose wapendwa.
Bonny Maoni na Bonny saa Julai 23, 2008 9:21am
Nitafurahi kutaharifiwa kinachojiri!
Mkwaya Maoni na Mkwaya saa Julai 23, 2008 8:06am
Inatia moyo kuona watu mnaongezeka mfukoni humu, msitie shaka kama alivyosema Jr tunaendelea kuushuulika na yale tuliyojadili siku ile ili tutoe taarifa sahihi na kamili. ila kabla ya jumapili nyingine mtapata kusikia jambo kuhusu kikao kile.

Pamoja..
Young Maoni na Young saa Julai 23, 2008 12:50am
mkubwa magere hapa nyumbani kwa wote karibu sana,nafasi hazijahi hapa,zipo kibao
Don Magere Maoni na Don Magere saa Julai 22, 2008 6:34pm
Hodiiiiiiiiiiiiii wenye nyumba hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Nafasi bado zipo au kumejaaaaa tayali?
Sophie Maoni na Sophie saa Julai 22, 2008 6:26pm
kwa kweli yatima ni kundi la wahitaji linalonigusa sana.nimekuja kwa moyo mkuu kuongeza nguvu. asante kwa mkwaya kwa kunihabarisha zaidi.
Michuzi Jr Maoni na Michuzi Jr saa Julai 22, 2008 1:05pm
kituo si lazima kiwe Dar kinaweza kuwa popote pale ili mradi ni ndani ya nchi yetu ya Tanzania.
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Julai 22, 2008 12:52pm
Asante sana Jr, sasa kituo kitakuwa ni kutoka Dar au sehemu yoyote ile mikoani?
Meshack maganga Maoni na Meshack maganga saa Julai 22, 2008 12:51pm
Wadau wa Dar naomba kutumia nafasi hii,kuwashukuru kwa kikao mlichofanya juzi pale makumbusho.tupo pamoja kila hatua na kila majadiliano yatakayo fikiwa tutayaafiki,Asanteni wadau
Michuzi Jr Maoni na Michuzi Jr saa Julai 22, 2008 11:52am
kikao kilichokaliwa juzi kilikuwa ni kwa ajili ya kutafuta ni kituo gani tunachotakiwa kukisaidia,na tukishakipata natumai kila kitu kitawekwa hapa barazani ili kila mtu ajue ni nini kinachoendelea,nafikiri mpaka j1 au j2 tutakuwa tumefanikiwa kupata kituo tutakacho kisaidia,na pia tutafahamishana jinsi tutakavyo weza kutoa michango yetu.kwa hiyo tunaomba muda kidogo ili tuweze kukamilisha haya maswala.haya ni machache yaliyozungumziwa kwa siku hiyo.

ahsanteni wanakijiji wenzangu.
Mdau Jr.
 

Wadau (79)

Young Michuzi Jr EDO NDAKI Mama Malaika Mkwaya Bonny Babukadja Maingu mujydebubyz Don Magere john mwakyusa Ritha T Meshack maganga Alfan araway Evacindy Bigambo milya Father Kidevu komredi KITOJO ANGEL NEHEMIAH Rugambwa james jingo Lucky Ekonjo ringomoses Helen Mipawa Cat Wa Ukweli. ANJELA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter