FotoBaraza.Net

Young

FOTOBARAZA FOUNDATION

Maelezo

FOTOBARAZA FOUNDATION

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Huu ni mfuko wa kuchangia kimawazo na chochote kitu kwa watanzania wote wenye kuhitaji msaada wetu wa hali na mali kama vile yatima,maalbino,wanawake wenye matatizo,wazee,vilema na kusaidia jamii yote kwa ujumla.

Wadau: 79
Latest Activity: Dec. 10, 2009

Uwanja wa Mijadala

Young

Wadau wa UK kukutana kupeleka mbele gurudumu la Fotobaraza Foundation 1 Reply

Umeanzishwa na Young. Mchango wa mwisho na Mama Malaika Dec. 10, 2009.

Babukadja

TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU 8 Replies

Umeanzishwa na Babukadja. Mchango wa mwisho na Oswald Jonh Akyoo Jun. 11, 2009.

john mwakyusa

MAONESHO YA PICHA ZA YATIMA WETU 4 Replies

Umeanzishwa na john mwakyusa. Mchango wa mwisho na Maingu Jan. 27, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FOTOBARAZA FOUNDATION ili Kuweka Maoni

Ritha T Maoni na Ritha T saa Julai 25, 2008 10:59am
asante sana edo kwa maoni yako na muongozo jinsi ya kufanya,nna hakika tutayafanyia kazi.
Mkwaya Maoni na Mkwaya saa Julai 25, 2008 10:57am
Edo nimesoma michango yako kwa utulivu na umakini wa hali ya juu, na nimekupata. Tutayazingatia haya yote katika kuendelea kuhamisha maneno kwenda kwenye vitendo..Pamoja wangu
EDO NDAKI Maoni na EDO NDAKI saa Julai 25, 2008 12:46am
Kuweka msisitizo.
Kuhusu walipendekezwa kama viongozi na wawakilishi binafsi naona mmefanya jambo la maana katika wakati huu wa kuwezesha kwanza mfuko uende mbele.Lugha nyingine tunaseme nyie sasa ndio manaodha kutusaidia chombo kiende mswano wakati huu wa mpito.

Mambo ya jinsi gani kiongozi na wanachama na majukumu yao itabidi tutawekana sawa mbele ya safari..

Kwa Mungu yote yawezekana.
tutafika tu
EDO NDAKI Maoni na EDO NDAKI saa Julai 25, 2008 12:35am
Napenda kuwapongeza wanakijiji wote kwa moyo wenu mkunjufu ktk kufanikisha hili.
Natoa maoni yangu kutokana na "KIKAO CHA MAKUMBUSHO"
Kwanza tuwe na Mwongozo "katiba" au tuwe na mpango wa mradi "project plan"Kwenye moja kati hayo mawili lazima yatakuwa nguzo ya kuweka "hali ya hewa" safi katika mfuko.

Muongozo utaonyesha majukumu ya viongozi,wawikilishi watapatikana vipi?Pili itasaidia kuweka bayana michango tutakayo itatumikaje na tutapataje taarifa.Muongozo utaonyesha iwapo kiongozi au mwanachama wajibu wake ni upi.Mfano ada ya kiingilio,kikomo cha sifa ya kuwa mwanachama.

Naamini huu ni mwanzo,ila kama tutataka kufika mbali zaidi mfuko unaweza kusajiliwa naamini gharama ni ndogo sana.Na moja ya faida ya mfuko kusajiliwa ni uwezekano wa hata sisi wanakijiji kwenda kwenye baadhi ya taasisi hata huku tulipo na kusema mfuko umesajiliwa ,account yao ni hii,registration namba ni hii ..malengo na madhumuni ni haya..Mpaka hapo tutakuwa tuandelea vema.

Mwisho katika kuchangia..lazima muongozo uonyeshe mfuko utakapo fikia mwisho wa utendaji wake(ingawa hatuombi itokee) basi lazima kwenye muongozo iweke bayana ..mali za mfuko mfano lap top,simu,pesa etc zitagawanywa au kutolewa kwa mmoja ya kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu au yatima.Hii italeta picha mfuko ni kwaajili ya "kutojipatia faida" ni kwa ajili ya jamii yetu.

Hivyo hao wadau walikutana Dsm na kuanza kwa vitendo zoezi ili basi mnaweza kuangalia moja kati ya niliyosema kama linaweza kusaidia katika mfuko wetu.

OMBI LANGU: mkutano mwingine naomba nitaarifiwe pia kama kuna uwezekano maana dunia kijiji..naweza kushiriki kwa kupiga simu na kutoa ufafanuzi zaidi kwa haya niliyoandika kama hayajaeleweka.
asante poleni kwa kusoma maoni marefu ka risala ya kumaliza shule ya msingi..lol..
chacha Maoni na chacha saa Julai 24, 2008 2:57pm
ebwanae hii bonge la idea tunaweza tukaanzisha kitu tangible somedays
Father Kidevu Maoni na Father Kidevu saa Julai 23, 2008 7:47pm
Poa poa wajumbe twaisubiri. Dah makumbusha maskani yangu halafu kikao kilinipita.
Michuzi Jr Maoni na Michuzi Jr saa Julai 23, 2008 3:11pm
msiwe na shaka kwani mambo yatakuwa hapa barazani muda si mrefu
Mkwaya Maoni na Mkwaya saa Julai 23, 2008 1:58pm
Pamoja wandugu, Taarifa itatoka muda si mrefu
Young Maoni na Young saa Julai 23, 2008 12:26pm
Taarufa za kikao rasmi zitatolewa na mama afrika(mkwaya)na maendeleo ya mfuko yatatoka wakati huo tunaomba subira kidogo wadau na TUKO PAMOJAndio motto wetu kama mr bigambo alivyosema
Bigambo Maoni na Bigambo saa Julai 23, 2008 11:30am
Wanandugu hamjambo? Napenda kupata taarifa za kikao mlichokaa na nini hasa kilichoazimiwa ili nasi tuliokuwa nje ya mtandao tujue nini tufanye. Pamoja ndiyo "MOTTO" wetu
 

Wadau (79)

Young Michuzi Jr EDO NDAKI Mama Malaika Mkwaya Bonny Babukadja Maingu mujydebubyz Don Magere john mwakyusa Ritha T Meshack maganga Alfan araway Evacindy Bigambo milya Father Kidevu komredi KITOJO ANGEL NEHEMIAH Rugambwa james jingo Lucky Ekonjo ringomoses Helen Mipawa Cat Wa Ukweli. ANJELA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter