FotoBaraza.Net

Young

FOTOBARAZA FOUNDATION

Maelezo

FOTOBARAZA FOUNDATION

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Huu ni mfuko wa kuchangia kimawazo na chochote kitu kwa watanzania wote wenye kuhitaji msaada wetu wa hali na mali kama vile yatima,maalbino,wanawake wenye matatizo,wazee,vilema na kusaidia jamii yote kwa ujumla.

Wadau: 79
Latest Activity: Dec. 10, 2009

Uwanja wa Mijadala

Young

Wadau wa UK kukutana kupeleka mbele gurudumu la Fotobaraza Foundation 1 Reply

Umeanzishwa na Young. Mchango wa mwisho na Mama Malaika Dec. 10, 2009.

Babukadja

TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU 8 Replies

Umeanzishwa na Babukadja. Mchango wa mwisho na Oswald Jonh Akyoo Jun. 11, 2009.

john mwakyusa

MAONESHO YA PICHA ZA YATIMA WETU 4 Replies

Umeanzishwa na john mwakyusa. Mchango wa mwisho na Maingu Jan. 27, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FOTOBARAZA FOUNDATION ili Kuweka Maoni

Mkwaya Maoni na Mkwaya saa Septemba 17, 2008 7:47am
PPAmoja wandugu, msione kimya mkahisi mambo yamesimama, mambo bado yako kwenye mchakato wa usajili tunaomba mungu yakamilike mapema il tuweze kusonga mbele . Msife moyo pamoja tutafika
Bigambo Maoni na Bigambo saa Septemba 9, 2008 5:03pm
Naamini hamjambo kabisa wanakijiji wenzangu, napenda kuchukua fursa hii kuelezea furaha yangu kwa kuweza kuongea na wana umoja waliokuwa katika kikao cha nne 30.08.2008 ambako kupitia kwa simu ya Ekonjo niliweza ongea na Ekonjo, Mkwaya na salaam zangu zikawafikia wote waliokuwa pamoja nao, kwakweli nilifarijika sana. Niko wilayani Meatu mkoa wa Shinyanga ambako haluan internet ndo sababu niko kimya na nimekuja mara moja hapa mjini Shy lakini narudi tena huko Meatu mpaka juma lijalo ndo ntarudi hewani tena, tambueni nathamini michango yenu na tuko PAMOJA. BIGAMBO
Ndekia Maoni na Ndekia saa Septemba 9, 2008 12:07pm
Nashukuru wanakijiji wa fotobraza kwa kuanzisha mfuko kama huu inaonyesha ni jinsi gani tunawajali watanzania wenzetu ambao wanaishi katika mazingira magumu. Naomba tuzidi kuwa na moyo kama huu wa kuwajali wenzetu zaidi bila shaka tutashirikiana.
Mkwaya Maoni na Mkwaya saa Agosti 31, 2008 3:44pm
SHukrani nyingi ziwafikie wote mlio pamoja nasi kimwili na kiroho, nasi tunaahidi kufanya kazi hii kwa roho na kweli, Kiako cha nne kilikuwa kizuri, tulipata wageni Alma na Astol, ilukuwa ni raha sana, hivyo na kwa wewe ambaye itatrokea ukawa hapa jijini usisite kuhudhuria kikao maana ni zaidi ya raha... Pamoja tutafika
Bigambo Maoni na Bigambo saa Agosti 30, 2008 11:55am
Jamani nipo nanyi pamoja na niwatakie kikao chema cha leo na kila jema liwe nanyi na baraka/hekima zake Muumba wa mbingu na ardhi iwe nanyi. Pamoja
Michuzi Jr Maoni na Michuzi Jr saa Agosti 30, 2008 11:43am
tupo pamoja katika kila jambo wadau wote wa kundi la YATIMA WETU FOTOBARAZA
Young Maoni na Young saa Agosti 30, 2008 11:25am
wandugu tuko pamoja kama mjuavyo umbali wetu unatukosesha kuwepo nanyi ila tunaungana na nyinyi ktk kila jambo,basi ninawatakia kikao kizuri chenye mafanikio.TUKO PAMOJAH
milya Maoni na milya saa Agosti 25, 2008 4:30pm
natanguliza shuklani kwa wote wanaojitolea muda wao kwa kufanikisha jambo hili mungu awabariki sana!binafsi nipo pamoja nao kwa yote!amani,upendo, umoja na busara zitawale,nawapenda wote na ninawaombea kwa mungu!pamoja.
john mwakyusa Maoni na john mwakyusa saa Agosti 23, 2008 6:45pm
Kama wewe ni mwanachama wa yatima wetu na upo Dar, pwani au morogoro, basi wakati wowote kikao kinapoitishwa njoo ujumuike. It is so nice physically meeting people you have just been in touch on line.nilifiurahi sana kukutana kwa mfano na Lui, Chaoga, RT (sikuwaona kikao cha pili) kwenye kikao cha tatu. Kikao kilienda vizuri na hakika endapo npo dar nitafanya bidii kutafuta sababu za kuahirisha shughuli nyingine nifike nijumuike na wanakijiji waliojitoa kwa ajili ya kutoa huduma kwa yatima wetu. Kinachonifurahisha ni hiki. Sote tuna ono moja lakini kuna wingi wa mawazo na mikakakti amabayo pamoja husaidia kuboresha maazimio ya mwisho. Mwenyekiti angel na T.E.A.M. (TOGETHER EVERYONE ATTAINS MORE) KUMBUKA – TUPO PAMOJA.
kwere Maoni na kwere saa Agosti 15, 2008 2:23pm
hata mimi ni yatima so naifil pinch wanayoipata yatima.
 

Wadau (79)

Young Michuzi Jr EDO NDAKI Mama Malaika Mkwaya Bonny Babukadja Maingu mujydebubyz Don Magere john mwakyusa Ritha T Meshack maganga Alfan araway Evacindy Bigambo milya Father Kidevu komredi KITOJO ANGEL NEHEMIAH Rugambwa james jingo Lucky Ekonjo ringomoses Helen Mipawa Cat Wa Ukweli. ANJELA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter