FotoBaraza.Net

Young

FOTOBARAZA FOUNDATION

Maelezo

FOTOBARAZA FOUNDATION

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Huu ni mfuko wa kuchangia kimawazo na chochote kitu kwa watanzania wote wenye kuhitaji msaada wetu wa hali na mali kama vile yatima,maalbino,wanawake wenye matatizo,wazee,vilema na kusaidia jamii yote kwa ujumla.

Wadau: 79
Latest Activity: Dec. 10, 2009

Uwanja wa Mijadala

Young

Wadau wa UK kukutana kupeleka mbele gurudumu la Fotobaraza Foundation 1 Reply

Umeanzishwa na Young. Mchango wa mwisho na Mama Malaika Dec. 10, 2009.

Babukadja

TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU 8 Replies

Umeanzishwa na Babukadja. Mchango wa mwisho na Oswald Jonh Akyoo Jun. 11, 2009.

john mwakyusa

MAONESHO YA PICHA ZA YATIMA WETU 4 Replies

Umeanzishwa na john mwakyusa. Mchango wa mwisho na Maingu Jan. 27, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FOTOBARAZA FOUNDATION ili Kuweka Maoni

Young Maoni na Young saa Januari 23, 2009 2:10pm
Tuwe na moyo wa kuvumilia mambo yanakwenda kwa upole kwa sababu zisizoweza kuzuilika,tunaomba ushirikiano wenu na wote mlio wageni karibuni na uwepo wenu ni nguvu mpya na hali mpya,tuko pamoja.
Lukman Najeems Maoni na Lukman Najeems saa Januari 13, 2009 8:46pm
Iam really happy for the group. Naomba tuongeze bidii ktk kuwalea na kuwaangalia yatima. Je tunao disabled yatimas ktk mfuko wetu? Any important contribution and efforts to be done? who is the head of the group. Guys its hime time now, lets keep up our pace to help the future generation.
Young Maoni na Young saa Januari 10, 2009 3:59am
Mkuu sadiki viongozi naona wako na majukumu mengi inaonekana ila utaratibu wa kuwatafuta unafanyika na wakipatikana wataacha taarifa za maendeleo ya mfuko,tuko pamoja
Helen Mipawa Maoni na Helen Mipawa saa Januari 9, 2009 1:41pm
Hasa sisi tuliowageni katika kundi hatujui hata pa kuanzia, tunaomba hata information kidogo kwani toka nimejiunga sielewi chochote kinachoendelea
Young Maoni na Young saa Desemba 31, 2008 4:08pm
kwa kweli kimya kimekuwa kingi na viongozi kulikoni?
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Desemba 31, 2008 3:54pm

LAKINI MBONA KIMYA WAJAMENI?
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Desemba 29, 2008 5:46pm
KWA KWELI KIMYA KIMEZIDI.. TATIZO NI NINI
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Desemba 25, 2008 9:50pm
Nawatikieni wote heri ya kumaliza mwaka 2008 na kuingia mwaka 2009.
Young Maoni na Young saa Desemba 24, 2008 5:24pm
Tunakwend amwisho wa mwaka na kama mwanakijiji tungependa kujua wapi tumefikia na wapi tumekwama na nini kinapaswa kufanyika maana kimya kimekuwa kirefu sana,basi tuko pamoja
john mwakyusa Maoni na john mwakyusa saa Desemba 24, 2008 9:24am
NAWATAKIENI NYOTE HERI YA KUZALIWA YESU KRISTO NA FURAHA YA MWAKA MPYA. KWA KADRI SIKU ZILIVYO TUONANE TENA MWAKA KESHO - INSHALLAH.
 

Wadau (79)

Young Michuzi Jr EDO NDAKI Mama Malaika Mkwaya Bonny Babukadja Maingu mujydebubyz Don Magere john mwakyusa Ritha T Meshack maganga Alfan araway Evacindy Bigambo milya Father Kidevu komredi KITOJO ANGEL NEHEMIAH Rugambwa james jingo Lucky Ekonjo ringomoses Helen Mipawa Cat Wa Ukweli. ANJELA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter