FotoBaraza.Net

Young

FOTOBARAZA FOUNDATION

Maelezo

FOTOBARAZA FOUNDATION

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Huu ni mfuko wa kuchangia kimawazo na chochote kitu kwa watanzania wote wenye kuhitaji msaada wetu wa hali na mali kama vile yatima,maalbino,wanawake wenye matatizo,wazee,vilema na kusaidia jamii yote kwa ujumla.

Wadau: 79
Latest Activity: Dec. 10, 2009

Uwanja wa Mijadala

Young

Wadau wa UK kukutana kupeleka mbele gurudumu la Fotobaraza Foundation 1 Reply

Umeanzishwa na Young. Mchango wa mwisho na Mama Malaika Dec. 10, 2009.

Babukadja

TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU 8 Replies

Umeanzishwa na Babukadja. Mchango wa mwisho na Oswald Jonh Akyoo Jun. 11, 2009.

john mwakyusa

MAONESHO YA PICHA ZA YATIMA WETU 4 Replies

Umeanzishwa na john mwakyusa. Mchango wa mwisho na Maingu Jan. 27, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FOTOBARAZA FOUNDATION ili Kuweka Maoni

Young Maoni na Young saa Mei 18, 2008 8:26pm
ukiweza kuni add kwako then tutawasiliana kwa karibu zaidi mkuu
Young Maoni na Young saa Mei 18, 2008 8:04pm
mkuu chibiriti nilikuwa nina dharura mara moja ila sasa niko na napatikana kama kawa.tuwasiliane basi
CHIBIRITI Maoni na CHIBIRITI saa Mei 17, 2008 5:02pm
Kweli kabisa haya mambo inabidi tuyafanyie kazi sana, Young naomba namba ya simu au E-mail yako kama unaweza ili tuongee zaidi, samahani kwa hilo.
CHIBIRITI Maoni na CHIBIRITI saa Mei 17, 2008 1:18pm
Young, mimi ninakuunga mkono sana tena sana kwa hili jambo. Ninaona uchungu sana kwa hawa watoto yatima.
 

Wadau (79)

Young Michuzi Jr EDO NDAKI Mama Malaika Mkwaya Bonny Babukadja Maingu mujydebubyz Don Magere john mwakyusa Ritha T Meshack maganga Alfan araway Evacindy Bigambo milya Father Kidevu komredi KITOJO ANGEL NEHEMIAH Rugambwa james jingo Lucky Ekonjo ringomoses Helen Mipawa Cat Wa Ukweli. ANJELA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter