FotoBaraza.Net

Young

FOTOBARAZA FOUNDATION

Maelezo

FOTOBARAZA FOUNDATION

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Huu ni mfuko wa kuchangia kimawazo na chochote kitu kwa watanzania wote wenye kuhitaji msaada wetu wa hali na mali kama vile yatima,maalbino,wanawake wenye matatizo,wazee,vilema na kusaidia jamii yote kwa ujumla.

Wadau: 79
Latest Activity: Dec. 10, 2009

Uwanja wa Mijadala

Young

Wadau wa UK kukutana kupeleka mbele gurudumu la Fotobaraza Foundation 1 Reply

Umeanzishwa na Young. Mchango wa mwisho na Mama Malaika Dec. 10, 2009.

Babukadja

TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU 8 Replies

Umeanzishwa na Babukadja. Mchango wa mwisho na Oswald Jonh Akyoo Jun. 11, 2009.

john mwakyusa

MAONESHO YA PICHA ZA YATIMA WETU 4 Replies

Umeanzishwa na john mwakyusa. Mchango wa mwisho na Maingu Jan. 27, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa FOTOBARAZA FOUNDATION ili Kuweka Maoni

Meshack maganga Maoni na Meshack maganga saa Mei 30, 2008 8:42am
Wadau tunaweza kufanya mchango wa kile tulicho nacho na kuwapatia hawa wenzetu mchango wa hali na mali.
Father Kidevu Maoni na Father Kidevu saa Mei 29, 2008 5:29pm
Nmshukuru Mungu kwa kunijalia uzima na mwenye afya. Kundi hili ni muhimu sana maana iwapo mimi na wewe siyo YATIMA basi huenda Uzao wetu ukaja kuwa yatima, kwani nani anauhakika na kesho ya maisha yake. Tuwasaidie yatima.
milya Maoni na milya saa Mei 27, 2008 4:48pm
Nami naungana nanyi wote,yatima ni wetu nasisi ndiyo wakuwajibika,mbarikiwe wote!!!!!!
EDO NDAKI Maoni na EDO NDAKI saa Mei 27, 2008 11:25am
Hakika hapa mmegusa sehemu mwafaka.Kwanza naanza kwa kuwapa pole watoto woote wanaoishi katika mazingira magumu"MVC".Hapo tunaongelea kundi kubwa zaidi.

Maana kuna watoto wengine si yatima bali kutokana na ugumu wa maisha,mifarakano na kuvunjika ndoa za wazazi wao,kuondokewa na mmoja wa wazazi,kukimbia mateso katika familia wanajikuta kwenye mazingira magumu.


Si muda wa kuumiza sana kichwa tumejikwaa wapi..maana tayari tumeshaanguka..kikubwa tushikane mikono.

pamoja..TUTAFIKA TU...."we shall make it"
Bigambo Maoni na Bigambo saa Mei 23, 2008 7:15am
Ni wakati muafaka kwetu kuwasaidia hawa wahitaji hasa wa kile ambacho Mungu ametupa bure, kwa pamoja tutaweza.
Meshack maganga Maoni na Meshack maganga saa Mei 22, 2008 1:51pm
Naunga mkono mawazo ya wadau hapa.kuhusu Yatima wetu,ni ndugu zetu inabidituwasaidie.nampongeza sana mdau kwa kuanzisha ukurasa huu!
Mama Malaika Maoni na Mama Malaika saa Mei 21, 2008 9:03pm
Nampongeza mtu aliyekuwa na wazo la kuanzisha kundi hili. Nakubaliana na wadau hapo chini. Ujue roho inauma sana unapoona watoto hawa wanatenekezwa na serikali bila msaada wowote. Na hali ya sasa kiuchumi nchini Tanzania, familia nyingi zimekuwa na yatima kupita uwezo wao.
Kwa miaka karibu 8 mie na mume wangu tumekuwa tukishiriki kusaidia yatima direct na sio kwenye charities au vituo vyao. Hata watoto wangu nao ingawa wadogo wameweza kuwa karibu sana na hata kujihusisha na watoto wenzao Tanzania na huko Malawi.
Pia kanisa ninalosali tunasaidia wakazi wa Masasi Diocese (HIV/AIDS programme) bila ya kujali dini au rangi. Tunafanya shughuli mbalimbali ili kuweza kusaidia kuchangisha pesa. Inaleta matumaini sana kuona kanisa lenye waumi wachache last year limeweza kupata 8,000 Sterling pounds na zote kupelekwa Masasi. Kuna mzungu huko Masasi ambaye yeye kazi yake ni kusimamia na kufatilia misaada inayotumwa ili kuhakikisha inawafikia walengwa.

Natumaini kila mmoja wetu akiweza kusaidia ingalau mtoto mmoja It will make change.
Mkwaya Maoni na Mkwaya saa Mei 20, 2008 2:20pm
Ni vizuri mmelikumbuka janga hili, tunahitaji kuweka maneno katika matendo, kwa sababu mengi yamesemwa lakini hayajawekwa into action. tuanzie kutoa misaada kuanzia unapotoka nyumbani kwako, si lazima kuwaweka katika makundi nakuwapatia msaada, hata ikitokea kundi la watu watatu au watano wakafanya makubaliano wakaamua kumsaidia mtoto mmoja katika eneo linalowazunguka tutaweza kufanikisha lengo japo si kwa wote, ila itasaidia kwa kuwa maneno yatakuwa yamekuwa matendo. na taratibu tutafika
Ritha T Maoni na Ritha T saa Mei 20, 2008 9:41am
Jamani ni vizuri mmecreate hii page kwa kuwakumbuka yatima,na huku kwetu wapo wengi,naweza kusema misaada inatolewa ila si sana na wala haikidhi mahitaji yote.
na hii misaada sio mara kwa mara kwa hiyo wanapitia hali ngumu sana ya maisha jamani.I always beleave ukimsaidia yatima unapata thawabu kwa MUNGU na ole wake amtendae baya maana yeye huwajali hawa yatima na wajane.wanaweza kusaidiwa kwa mali hali na mengineyo.hawakupenda wawe hivi ila MUNGU ana mipango yake.
Cha kusikitisha kuna wengine wana vitumia hivi vituo kwa profit /benefit zao,i don know why jamani.ila kwa hali na nguvu moja tunaweza kufanya kitu hapa na kupata baraka.
Evacindy Maoni na Evacindy saa Mei 19, 2008 2:26am
Mmesema hayo, na mimi naunga mkono kabisa ndugu zangu, huwa naamini sio lazima mtu uwe tjiri ndio uweze kusaidia watu, sisi wote tunaweza ku make a change in maisha ya hawa watoto, Lakini at the same time kuna vituo ukiwapa hela wanaenda kujenga kwao. Sasa bwana Chibi tuwasiliane na kuungana wote tuangalie tunaweza kufanya nini!!
 

Wadau (79)

Young Michuzi Jr EDO NDAKI Mama Malaika Mkwaya Bonny Babukadja Maingu mujydebubyz Don Magere john mwakyusa Ritha T Meshack maganga Alfan araway Evacindy Bigambo milya Father Kidevu komredi KITOJO ANGEL NEHEMIAH Rugambwa james jingo Lucky Ekonjo ringomoses Helen Mipawa Cat Wa Ukweli. ANJELA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter