FotoBaraza.Net

Maelezo

Wapambe wa Kikwete

WALE WOTE TUNAOPENDEZEWA NA JUHUDI ZINAZOFANYWA NA RAISI WETU WA JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA KTK KUJENGA NCHI YETU BASI HAPA NDIO MAHALA PAKE PA KUTOA MAWAZO, PONGEZI NA USHAURI JUU YA MWENENDO WA SERIKALI YETU CHINI YA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Wadau: 12
Latest Activity: Dec. 30, 2009

Uwanja wa Mijadala

Chris

Hawezi kuwa mpambe wagu huyu! 9 Replies

Umeanzishwa na Chris. Mchango wa mwisho na Chaoga Tonge Nov. 2, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa Wapambe wa Kikwete ili Kuweka Maoni

boniface msami Maoni na boniface msami saa Desemba 30, 2009 10:39am
kaka tonge, mimi nakupata vizuri sana kweli wewe kiona mbali, ukweli ni kwamba sisi maandalizi sio mazuri sio kwamba tunashindwa kufanya vizuri no, maandalizi etu ya siku mbili, yatatu, mashindano, unafikili tutafanya vizuri kweli? kifupi kama alivyosema rais, tujiandae vya kutosha walimu wapo wazuri sana, ambao wanaweza, tuchukulie mfano taifa stars tatizo ni mwalimu, kuvunja timu na kuunda timu mpya wakati wiki ijayo anamashindano, unategemea kuna ushindi hapo?kama si kutia aibu? mimi huwa najifunza kitu furani ka wenzetu, mfano nigeria au baazi ya nchi furani africa, wanapotaka kuvunja timu hawavunji yote, wanachukua ander graund, wanakaa benchi, kama bado dakika 20 mpira kuisha ndio wanachezeshwa ili wazoee mikikimikiki, sasa unavyunja timu unaingiza wapya kesho unamechi za kimataifa, kitakachofuatia ni nini? kama si kipigo? mimi nampongeza rais wetu, anajuhudi za kutupeleka mbali ila kuna baazi ya watendaji wake, mimi nasema roho zao zina matope,
Chaoga Tonge Maoni na Chaoga Tonge saa Desemba 30, 2009 7:29am
RAIS Jakaya Kikete amewahasa washiriki Tanzania watakaokwenda kuiwakilisha nchi kwenye michuano ya Jumuia ya Madola nchini India mwakani, kujiandaa mapema na kuepuka visingizio wanaposhindwa.

Akizungumza jijini jana Kikwete alisema vyama vinatakiwa kufanya maandalizi mapema ili waweze kufanya vizuri na kuchukua medali si kurudi hapa na sababu.

Alisema: ''Kila kitu mnacho, mnao walimu wataalamu pamoja na muda wa kutosha kwa ajili ya maandalizi, hatutaki mrudi na sababu, hatutaki hadithi, mjiandae vizuri na yote yanawezekana,''

Hata hivyo rais amepanga kwenda kukutana na majeshi ili wazungumze kuona wafanye ili kurudisha michezo kwenye majeshi kama ilivyo awali kama rekodi ya aliyoweka Filbert Bayi mwaka 1974.
Chaoga Tonge Maoni na Chaoga Tonge saa Desemba 30, 2009 7:26am
ahsante sana boniface kwa mchango wako, na karibu sana kundini
boniface msami Maoni na boniface msami saa Desemba 22, 2009 2:45pm
Mimi binafsi namkubali mhe, rais kifupi ni kwamba kwanza msimamo wake katika utendaji habep anapiga, katika ahadi alizo ahidi kwa nyingi, amezitekeleza, si kwa kuongea tu, bali kwa kuongea na kutenda,ahadi alizo ahidi ni nyingi kwa miaka 5 tu, haimtoshi anahitaji na hii 5 ya mwisho, naamini kabisa watanzania hasa vijana ajira zitaongezeka zaidi, angalia jinsi tunavyoshilikiana katika shughuli mbalimbali, si mtu wa kubagua, sina budi, kumpongeza, namtakia rais wetu christmas jema, na mwaka mpya, mungu awe kiongozi wa katika harakati zake za maendeleo, na sisi tutazidi kumuombea,,,,,,,amen,,,,,
Neema Mmanga Maoni na Neema Mmanga saa Novemba 2, 2009 3:27pm
rushwa na hongo mlizopark kwa ajili yakutudanganyia mwaka huu thamani yake itashuka na kama nikupokelewa watapokea wale ambao Mungu hajawapitia na ss tuliotembelewa zote tutazikataa kumuachia Mungu kazi hiyo atatufanyia. ishini na AMANI .2010 MWAKA WA MAPINDUZI NA NGOME YA SHETANI MTOA RUSHWA KUANGUSHWA
Neema Mmanga Maoni na Neema Mmanga saa Novemba 2, 2009 3:23pm
kufa kupona mwaka huu watu watakoma kiongozi anashushwa na Mungu ni nani mtakaemzulumu? Siku zote mnatusumbua vichwa na maneno spika nyimbo za masengenyo ya taarabu mnatupigia kwa Yesu hakuna hilo awamu hii Mungu ametusikiliza kiongozi bora atatuchagulia. AMINI UTII
Sarah Maoni na Sarah saa Julai 17, 2009 4:01pm
Sorry nilisahau kidogo
MCHUNGAJI Maoni na MCHUNGAJI saa Desemba 9, 2008 8:08pm
Jamani kumbukeni kuwa ni mwenyekiti wa AU kwa hiyo sio safari zote ni za ki Tz nyingine ni majukumu ya kibara! Na pia ni rais ambaye amejitahidi kufanya ziara kila kona ya nchi sio ng`ambo tuu last week alikua Mang`ula jana alikua anajirusha bongo flavour pale Karimjee! au taarifa za habari za home hamusikilizi? Mnyonge mnyongenilakini haki yake mpeni!Teh! teh! teh! Ni hayo tuu nawakilisha!
Alfan Maoni na Alfan saa Desemba 5, 2008 7:33pm
Mi namuona ni kibaraka wa Bush tu hana lolote huyu, iko siku tutajikuta tumeuzwa bila kujijua!
Chaoga Tonge Maoni na Chaoga Tonge saa Desemba 2, 2008 2:45pm
nashukuru vadonde na alfa natumaini nyie mpaka mwaka 2010 mtakuwa wapambe kamili kabisa. mtaona mavituzi ya mheshimiwa, nataka kuwaambia mheshimiwa yuko bize sana kwa sasa kujenga taifa bora nyie mtakuwa mashahidi wangu!!
 

Wadau (12)

Chaoga Tonge MCHUNGAJI Neema Mmanga Alfan Dunda ed Dixon Dismas Angella Oswald Jonh Akyoo Sarah boniface msami
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter