FotoBaraza.Net

Maelezo

Wapambe wa Kikwete

WALE WOTE TUNAOPENDEZEWA NA JUHUDI ZINAZOFANYWA NA RAISI WETU WA JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA KTK KUJENGA NCHI YETU BASI HAPA NDIO MAHALA PAKE PA KUTOA MAWAZO, PONGEZI NA USHAURI JUU YA MWENENDO WA SERIKALI YETU CHINI YA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Wadau: 11
Latest Activity: Nov 2

Uwanja wa Mijadala

Chris

Hawezi kuwa mpambe wagu huyu! 9 Replies

Umeanzishwa na Chris. Mchango wa mwisho na Chaoga Tonge Nov 2.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa Wapambe wa Kikwete ili Kuweka Maoni

Neema Mmanga Maoni na Neema Mmanga saa Novemba 2, 2009 3:27pm
rushwa na hongo mlizopark kwa ajili yakutudanganyia mwaka huu thamani yake itashuka na kama nikupokelewa watapokea wale ambao Mungu hajawapitia na ss tuliotembelewa zote tutazikataa kumuachia Mungu kazi hiyo atatufanyia. ishini na AMANI .2010 MWAKA WA MAPINDUZI NA NGOME YA SHETANI MTOA RUSHWA KUANGUSHWA
Neema Mmanga Maoni na Neema Mmanga saa Novemba 2, 2009 3:23pm
kufa kupona mwaka huu watu watakoma kiongozi anashushwa na Mungu ni nani mtakaemzulumu? Siku zote mnatusumbua vichwa na maneno spika nyimbo za masengenyo ya taarabu mnatupigia kwa Yesu hakuna hilo awamu hii Mungu ametusikiliza kiongozi bora atatuchagulia. AMINI UTII
Sarah Maoni na Sarah saa Julai 17, 2009 4:01pm
Sorry nilisahau kidogo
MCHUNGAJI Maoni na MCHUNGAJI saa Desemba 9, 2008 8:08pm
Jamani kumbukeni kuwa ni mwenyekiti wa AU kwa hiyo sio safari zote ni za ki Tz nyingine ni majukumu ya kibara! Na pia ni rais ambaye amejitahidi kufanya ziara kila kona ya nchi sio ng`ambo tuu last week alikua Mang`ula jana alikua anajirusha bongo flavour pale Karimjee! au taarifa za habari za home hamusikilizi? Mnyonge mnyongenilakini haki yake mpeni!Teh! teh! teh! Ni hayo tuu nawakilisha!
Alfan Maoni na Alfan saa Desemba 5, 2008 7:33pm
Mi namuona ni kibaraka wa Bush tu hana lolote huyu, iko siku tutajikuta tumeuzwa bila kujijua!
Chaoga Tonge Maoni na Chaoga Tonge saa Desemba 2, 2008 2:45pm
nashukuru vadonde na alfa natumaini nyie mpaka mwaka 2010 mtakuwa wapambe kamili kabisa. mtaona mavituzi ya mheshimiwa, nataka kuwaambia mheshimiwa yuko bize sana kwa sasa kujenga taifa bora nyie mtakuwa mashahidi wangu!!
Dundazy Baba Maoni na Dundazy Baba saa Desemba 1, 2008 7:52pm
Mimi namfagilia kimtindo ingawa wakati wa uchauzi siku wepo nyumbani
ANA MAAMUZI YAKINIFU INGAWA WATANZANIA WENGI WANAITAJI KITU FASTA
KUNYONGOLOTA AU KUCHINJA INGA SI HIVYO KWA JK A.K.A BWAGAMOYO TOWN,KUNA WANAOMUANGUSHA KWENYE JOPO LAKE INGAWA ANAJUA KWENEYE MSAFARA WA MAMBA KENGE NAO WAMO....(CHAFOSA CHAI GODA)
ILINICUKUA MUDA KUMUELEWA MH J.K NA HATA KUFIKIA WAKATI UONGOZI WAKE NIKAWA SIUELEWI NAFIKILI HATA KWA WENGINE NI HIVYO HIVYO WAENGELEZA WANASEMA TIME WILL TELL TUMPE MUDA
WANAKIJIJI MIMI SI MWANACHAMA WA CHA CHOCHOTE KULE NYUMBANI BONGO
INGAWA NIMEZALIWA INGAWA NIEMZALIWA NA KUKULIA UTAWALA WA CCM NA WAZAZI WAO VIONGOZI WASTAFUUU NA CCM DAMU KABISA,,MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE AMANI KWETU JADI
Alfan Maoni na Alfan saa Desemba 1, 2008 6:43pm
Kwa hiyo wewe Vadonde na mimi ni wapambe fake, maana mimi simfagilii saaaaana kihivyo, ni kidoooooogo sana!
Alfan Maoni na Alfan saa Desemba 1, 2008 5:44pm
Ila huyu nae kazidi sana kutalii, utasikia leo yuko France kesho Italy yaani anatembea tuuuuu!
 

Wadau (11)

Chaoga Tonge MCHUNGAJI Neema Mmanga Alfan Dundazy Baba ed Dixon Dismas Angella Oswald Jonh Akyoo Sarah
 
 

Besdei za Kuzaliwa

Wazaliwao Leo

Wazaliwao Kesho

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter