FotoBaraza.Net

Maelezo

WANA WA ASILI

WALE WOTE WANAOENZI TAMADUNI ZA KWAO. WAHENGA HUNENA ASIYE NA UTAMADUNI NI MTUMWA.

Tovuzi: http://blog.co.tz/mrocky
Eneo: TANZANIA
Wadau: 12
Latest Activity: Jun. 18, 2009

Uwanja wa Mijadala

Chaoga Tonge

utamaduni wetu ndio unapotea? 1 Reply

Umeanzishwa na Chaoga Tonge. Mchango wa mwisho na Glory Jun. 7, 2009.

EDO NDAKI

hapo vip?"Masai wa Asia"

Umeanzishwa na EDO NDAKI Jun. 8, 2008.

Father Kidevu

Nani anayeharibu utamaduni wetu

Umeanzishwa na Father Kidevu Mei. 30, 2008.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa WANA WA ASILI ili Kuweka Maoni

Nickitta Maoni na Nickitta saa Juni 18, 2009 6:21pm
Nakubaliana na tamaduni zote lakini sitakubaliana na tamaduni za ku-enzi kuchawi kwani pia ni moja ya tamaduni za kwetu wa TZ, jee nimo Father Kidevu au ntachujwa moja kwa moja!!!!!!!!!!! hodi Kijijini hapa ndani.
Sarah Maoni na Sarah saa Juni 12, 2009 11:42pm
he humu ndani
Father Kidevu Maoni na Father Kidevu saa Desemba 24, 2008 4:48pm
Mdau Alfan unakaribishwa sana nafasi bado zipo wazi.
Alfan Maoni na Alfan saa Septemba 2, 2008 3:48am
Jamani hodi humu ndani! Naweza pata nafasi au mumejaa?Nawaunga mkono kuhusu utamaduni wetu ila ningependa kila mmoja wetu humu ndani akatoa historia ya utamaduni atokako ili tubadilishane mawazo na kipi kifanyike ili utamaduini wetu usipotee kabisa.Naomba kutoa hoja!
wakijiti Maoni na wakijiti saa Agosti 29, 2008 1:08pm
JASIRI AACHI ASILI.
Mimi ni Maasai asilia.chakushangaza ni kuwa Wamasai wengi wanapoingia Uswazini wanajificha kwa kile watu wengi wanadai hatujaelimika, washamba,wachafu na wengine twaenda uchi, wanyama nk,ndugu zanguni mtasema yote lakini jamii hii au kabila hili sivyo kama wengi wanavyofikiria.
Meshack maganga Maoni na Meshack maganga saa Juni 28, 2008 8:58am
Nimependa sana kundi hili.
Chaoga Tonge Maoni na Chaoga Tonge saa Mei 30, 2008 9:38am
utamaduni bwana tunauharibu sisi wenyewe na hasa sisi wenye watoto, utakuta mtoto una mkuza kwa mbwembwe nyingi zilizojaa mikogo ya kimagharibi vipindi kwenye luninga sio vya kukuza utamaduni wetu bali vya kuiga maisha ya kimagharibi muda si mrefu faza kidevu nakwambia SHIKAMOO itapotea itakuwa hakuna tena nani mkubwa apewe heshima yake
Father Kidevu Maoni na Father Kidevu saa Mei 30, 2008 7:18am
Nakaribisha yeyote mwenye mchango juu ya utamaduni wa mtanzania.
Chaoga Tonge Maoni na Chaoga Tonge saa Mei 29, 2008 9:43pm
utamaduni ni muhimu ndugu zangu huwezi kutambulika bila utamaduni lete mambo bwana kidevu
Don Magere Maoni na Don Magere saa Mei 29, 2008 9:22pm
Hallo father kidevu mambo vipi?nategemea kuona mambo yetu ya asili yanaenziwa humu ndani.
 

Wadau (12)

EDO NDAKI Glory Father Kidevu Chaoga Tonge Don Magere Mama Malaika sam pk Meshack maganga wakijiti Alfan Sarah Nickitta
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter