FotoBaraza.Net

Ekonjo

Science na Technology

Maelezo

Science na Technology

Jifunze/Uliza/Elimisha kuhusiana na Simu,Computers,iPods, na kadhalika

Wadau: 25
Latest Activity: Nov. 26, 2009

Uwanja wa Mijadala

Ekonjo

Je Unafahamu ya Kwamba? Simu Yako au Email Yako Haina Siri 2 Replies

Umeanzishwa na Ekonjo. Mchango wa mwisho na Ekonjo Mar. 13, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa Science na Technology ili Kuweka Maoni

Abraham Gella Maoni na Abraham Gella saa Septemba 17, 2009 1:11pm
science ndo kila ki2
Ekonjo Maoni na Ekonjo saa Februari 28, 2009 6:34am
Kaka natumai umzima wa fya teeleee, sasa basi matatizo ya Virus si huku africa peke yake, ila huku yamzidi, sababu kwanza sie waafrica wenyewe tunapenda free gifts, hata kununua zile licenced anti-virus tunaosha wizi mtupu, but kwa kiukweli kununua anti-virus yenye licence from Europe or manufacturer mwenyewe, hapo una usalama wa asilimia 95% ya kinga, sababu inakuwa na updates zote, ila hzi za buku 5 sijui au from google, usijidanganye kaka, hakuna kitu, Pia nchi za wenzetu ulaya, kama serikali kunakuwa na FIREWALL (ukuta moto) ambao huzui virus kusambaa kwa haraka/ovyoovyo, maana yake kwamba kila ISP /internet provider lazima awe na firewall na pia awe anapitisha mifumo yake ya data kwenye firewall za seriakali.
Meshack maganga Maoni na Meshack maganga saa Februari 27, 2009 7:02pm
Mkuu wa kundi hili na wadau wengine ,hivi tatizo la virus wa kompyuta lipo huku kwetu Afrika au ni pamoja na dunia yote maana naona sisi imezidi
Alfan Maoni na Alfan saa Januari 28, 2009 10:19am
Tuko pamojah!
Alfan Maoni na Alfan saa Januari 28, 2009 10:17am
Nini maana ya science and Technology???????
Ekonjo Maoni na Ekonjo saa Januari 22, 2009 9:06am
Je Unafikiri ni salama au si salama kulala Hotel Kubwa hasa zile za Nyota Tano (like kempiski, Moven Pick,)
Katika hali ya Technolojia si salama wala si siri maana kila chumba sauti zinarekodiwa, sababu ni vyumba ambayo hulala hata maraisi au watu wakubwa na hadhi, ambao wanahitaji kulindwa kwa masaa 24 kwa siku 7 za wiki, Chunguza, kuna vyumba kadhaa hata pale Kempiski huwezi kupanga si kwamba huna pesa lahh, bali ni maalumu (presidential suites) kuchunguliwa fully.
Je Unafahamu ujio wa raisi mstaafu George Walker Bush, simu zote na sms zilikuwa zinafuatiliwa?
Emails, radio calls na kila aina ya mawasiliano!
Ukubwa karaha, kila ufanyapo kinasikika na kuonekana
Je unafahamu ya kwamba Ma rais wa nchi zote hawalali na wake zao chumba kimoja? kwa sababu za kiusalama?
Festi ledi rumu yake na Prezidenti rumu yake, mzee naruhusiwa kumtembela wife any time, but wife haruhusiwi kukurupuka kwenda kwa mumewe (raisi) hadi kwa taarifa,
Ehhe usiombe mumeo au mkeo awe rais utaomba talaka

Kwa leo ni hayo
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Januari 17, 2009 4:45pm
OK. NAFURAHI SANA KUONA FOTOBARAZA INA KILA AINA YA WATU WA TAALUMA MBALIMBALI...SWALI LANGU NI HIVI; WAWEZAJE KUTAMBUA PRIVATE NUMBER BILA YA KUULIZA COMPANY YA SIMU INAYOKU-PROVIDE-A HUDUMA HIYO.
Dunda Maoni na Dunda saa Januari 16, 2009 11:36pm
sayansi ba elimu muhimu tuijue maana dunia aya sasa utata mtupu
 

Wadau (25)

Ekonjo cherry Maingu ed Dunda CHA the Great EDO NDAKI kibunango Chaoga Tonge Alfan Elimanp abdillahi mkwabi Dismas Nasser M. Nasser Meshack maganga Mm eFrancia Cat Wa Ukweli. Sarah Yasser Mtangazaji Kai Lucie wa mama Abraham Gella Young Reginald Lyamuya
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter