FotoBaraza.Net

Maelezo

PamoJah

PAMOJAH NI KUNDI LA KUSAIDIANA..KILA MWANACHAMA ANAWEZA KUPATA MSAADA TOKA KWA WANACHAMA WENZAKE, PALE INAPOTHIBITIKA MWANACHAMA HUYO ANA MATATIZO.. NAKARIBISHA MAONI NA USHAURI. PAMOJAH

Tovuzi: http://www.fotobaraza.ning.com/group/pamojah
Eneo: DAR ES SALAAM.
Wadau: 51
Latest Activity: masaa 22 yaliyopita

Let's Get PamoJah Now!

PamoJah means all the people regardless of color, gender and creed are the children of one father, who is Jah, and because all of us are the children of one father, we must unite and help one another.

Let's get PamoJah now.
One Love

Uwanja wa Mijadala

CHA the Great

YAHUSU PAMOJAH T-SHIRTS

Umeanzishwa na CHA the Great Jun. 29, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa PamoJah ili Kuweka Maoni

Meshack maganga Maoni na Meshack maganga saa Aprili 10, 2009 9:51am
Asante
REBECCA KASUWI Maoni na REBECCA KASUWI saa Aprili 9, 2009 9:30am
sawa kaka kilio chetu wamekisikia isipokuwa wameweka pamba masikioni zitolewe hizo pamba wapate kuazibiwa kama sheria inavyo dai
ABEL ISKAL NDUNDULU Maoni na ABEL ISKAL NDUNDULU saa Aprili 9, 2009 9:10am
KUNANI TANZANIA?
Aliposhutumiwa kwa kuweka shinikizo la kisiasa dhidi ya kesi ya Jacob Gedleyihkisa Zuma,Wanachama wa ANC walimshinikiza Thabo Mvuyelwa Mbeki kujiuzuru wadhifa wake wa Urais,

Yasuo Fukuda alijiuzuru nafasi yake ya Uwaziri Mkuu kwa ufisadi Japan na Taro Aso akachukua nafasi,

Thaksin Shinawatra alijiuzuru baada ya ufisadi na uzandiki katika nchi yake ya Thailand,Waziri Mkuu mwingine wa Thailand Samak Sundavej alijiuzuru kufuatia kuonekana katika kipindi cha mapishi katika Luninga.Huyu Abhisit Vejjajiva naye yupo kikaamgoni wananchi hawamtaki.

Waziri Mkuu wa Israel Ehud Olmert alijiuzuru kufuatia kashfa ya rushwa na Ufisadi na Tzipi Livni amekuchukua nafasi yake.

Rais wa Pakistan Pervez Musharaff aliamua kung’oka madarakani kama rais wa na kumuachia Asif Ali Zardari.

Pamoja na Lowasa,Karamagi,Chenge,Msabaha kujiuzuru,Mafisadi wa EPA wako wapi?Wazandiki wa mikataba feki na Rushwa kubwa hawapo,wahujumu wa BoT na wale wa Madini.Vipi mizimu ya DOWANS,RICHMOND,RADA n.k. wamejificha wapi?Ajira za kubebana mbona zimeshamiri?Sisi watoto wa Wakulima sio Watanzania?Watanzania ni hao watoto wa “vigogo” tu!!Eeeh si ndio wanafoji vyeti waingie mahali patakatifu kama BoT!!Kama sio baba,kaka.dada,shangazi na mama zao wangewezaje?Hivi nchi hii kuna kitu kama ajira huria BoT,TASAF,IKULU,PCCB etc!!HAKUNA KABISA!!Mimi simo,simo kabisa!!
erick ngajilo Maoni na erick ngajilo saa Aprili 7, 2009 2:19pm
inakuwaje watu wangu
Cat Wa Ukweli. Maoni na Cat Wa Ukweli. saa Aprili 6, 2009 2:42pm
Salama hapa?
Dada Maoni na Dada saa Aprili 4, 2009 1:21pm
Hodi PAMOJAH WE CAN?
Cat Wa Ukweli. Maoni na Cat Wa Ukweli. saa Aprili 1, 2009 10:07am
Wazima watu wa hapa?
REBECCA KASUWI Maoni na REBECCA KASUWI saa Aprili 1, 2009 10:05am
poa kaka karribu sana Pamojah
ABEL ISKAL NDUNDULU Maoni na ABEL ISKAL NDUNDULU saa Machi 31, 2009 9:20am
MAMBO VIPI HUMU NDANI?
Mabagala Maoni na Mabagala saa Machi 21, 2009 11:10am
VOTE FOR PASCAL
 

Wadau (51)

CHA the Great Young Dismas Alfan Dixon mujydebubyz araway Mm eFrancia Dr riziki mlavitu flan flan Bryson dachi.com ABEL ISKAL NDUNDULU REBECCA KASUWI ALBERT Dunda Michuzi Jr EDO NDAKI Jacqueline Mabagala kingwendu stephen Majoy Chaoga Tonge NSAJIGWA Don Magere kishazi Jorge Rutenge Mtoto mzuri Lolita
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter