FotoBaraza.Net

Maelezo

PamoJah

PAMOJAH NI KUNDI LA KUSAIDIANA..KILA MWANACHAMA ANAWEZA KUPATA MSAADA TOKA KWA WANACHAMA WENZAKE, PALE INAPOTHIBITIKA MWANACHAMA HUYO ANA MATATIZO.. NAKARIBISHA MAONI NA USHAURI. PAMOJAH

Tovuzi: http://www.fotobaraza.ning.com/group/pamojah
Eneo: DAR ES SALAAM.
Wadau: 51
Latest Activity: masaa 23 yaliyopita

Let's Get PamoJah Now!

PamoJah means all the people regardless of color, gender and creed are the children of one father, who is Jah, and because all of us are the children of one father, we must unite and help one another.

Let's get PamoJah now.
One Love

Uwanja wa Mijadala

CHA the Great

YAHUSU PAMOJAH T-SHIRTS

Umeanzishwa na CHA the Great Jun. 29, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa PamoJah ili Kuweka Maoni

Oswald Jonh Akyoo Maoni na Oswald Jonh Akyoo saa Juni 3, 2009 2:45pm
Ndugu yangu Young pole sana,kwani kazi ya mungu haina makosa,tupo pamoja mkuu
Oswald Jonh Akyoo Maoni na Oswald Jonh Akyoo saa Juni 3, 2009 2:45pm
Ndugu yangu Young pole sana,kwani kazi ya mungu haina makosa,tupo pamoja mkuu
Oswald Jonh Akyoo Maoni na Oswald Jonh Akyoo saa Juni 3, 2009 2:45pm
Ndugu yangu Young pole sana,kwani kazi ya mungu haina makosa,tupo pamoja mkuu
dachi.com Maoni na dachi.com saa Juni 3, 2009 1:20pm
pole sana ,kuu yong kwa kufiwa namama yako mzazi polesa mkuu nimepokea kwamasikitiko sana kak pole sana
Oswald Jonh Akyoo Maoni na Oswald Jonh Akyoo saa Mei 10, 2009 1:11pm
Waugwana vipi mamabo,now....how do i get one of ur T-shet? nipo Dar es salaam
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Mei 2, 2009 5:34pm
Oh Asante Pascal! Ni kweli zile zilikuwa special order, na zilitoka chache sana ambazo naweza kusema zote zilikwenda nje ya nchi...na moja ya watu walioweza kuzivaa ni pamojah na Young, hapa Bongo (nyumbani alibahatika mtu mmoja tu. Lakini kuna possibility ya hata wewe kupata ya aina ile ....na muda si mrefu PamoJah....itatokea katika style tofauti....utapata V Shape (kama ile ambayo umeiona kwa Mkuu Young), na zingine zingine nyingi sana, hii ni kutokana na request za watu wengi sana.....
Asante sana kwa kuwa karibu na PamoJah products, na kuipa support product hiyo! tuzidi kuwasiliana.
Stay blessed,
One Love..
Mabagala Maoni na Mabagala saa Mei 2, 2009 3:56pm
sikujua kama kuna aina mbili za tshirt za pamojah, nilipata nyepesi nyepesi kwamba kuna za bei kubwa na za 10,000 ambazo ndio zilikuwa zikitangazwa, izo za 18,000 vipi? au ilikuwa ni special order?
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Aprili 29, 2009 8:16am
Oswald John Akyoo, Rafiki yangu Dada, na Meshack Maganga karibuni sana PamoJah....
Mabagala Maoni na Mabagala saa Aprili 10, 2009 3:35pm
Asante sana Bwana Ngajilo. Na wewe pia twakutakia sikukuu njema
erick ngajilo Maoni na erick ngajilo saa Aprili 10, 2009 2:32pm
nawatakia happy easter wadau wote
 

Wadau (51)

CHA the Great Young Dismas Alfan Dixon mujydebubyz araway Mm eFrancia Dr riziki mlavitu flan flan Bryson dachi.com ABEL ISKAL NDUNDULU REBECCA KASUWI ALBERT Dunda Michuzi Jr EDO NDAKI Jacqueline Mabagala kingwendu stephen Majoy Chaoga Tonge NSAJIGWA Don Magere kishazi Jorge Rutenge Mtoto mzuri Lolita
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter