FotoBaraza.Net

Maelezo

PamoJah

PAMOJAH NI KUNDI LA KUSAIDIANA..KILA MWANACHAMA ANAWEZA KUPATA MSAADA TOKA KWA WANACHAMA WENZAKE, PALE INAPOTHIBITIKA MWANACHAMA HUYO ANA MATATIZO.. NAKARIBISHA MAONI NA USHAURI. PAMOJAH

Tovuzi: http://www.fotobaraza.ning.com/group/pamojah
Eneo: DAR ES SALAAM.
Wadau: 51
Latest Activity: 1 day ago

Let's Get PamoJah Now!

PamoJah means all the people regardless of color, gender and creed are the children of one father, who is Jah, and because all of us are the children of one father, we must unite and help one another.

Let's get PamoJah now.
One Love

Uwanja wa Mijadala

CHA the Great

YAHUSU PAMOJAH T-SHIRTS

Umeanzishwa na CHA the Great Jun. 29, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa PamoJah ili Kuweka Maoni

CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Juni 20, 2009 6:48pm
PamoJah................new tings to come.
Stay blessed all the time one love one destiny......
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Juni 17, 2009 10:40am
Asante Mkuu Oswald kwa ujumbe na ushauri mzuri. Ngoja niwahabarishe wadau kuhusu hili ili tujue nini tunafanya.
PamoJah
Oswald Jonh Akyoo Maoni na Oswald Jonh Akyoo saa Juni 11, 2009 10:16pm
Mkuu!! mamabo vipi,nadhani kikundi kipo live,ila kuna mambo madogo madogo ya kufanywa ili kikundi kijiendeshe powa,nashauri kama ina wezekana wanakikundi wawe wanatoa michango ya pesa,jaribu kumtafuta muweka mtunza pesa wa kikundi,hii ikiwa na maana kila mwanakikundi akipatwa na tatizo apate msahada wa awali kutoka kwenye mfuko wa kikundi,and then mingine iendelee...nadhani unakumbuka mchaka mchaka tulioupa siku ile mm ww na Michuzijr,hvyo mkuu,itisha kikao,itoe hii mada and then wadau waijadili.TUPOPAMOJH,
REBECCA KASUWI Maoni na REBECCA KASUWI saa Juni 8, 2009 4:12pm
Pole sana kaka young Mungu hakupe faraja katia mtihani tupo pamoja
kishazi Maoni na kishazi saa Juni 7, 2009 9:41am
Tupo pamoja Young katika kipindi hiki kigumu Jah bless you and Family
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Juni 6, 2009 6:12pm
Karibu sana Neema katika

PamoJah
Feel good all the time
One Love!
neema ngogo Maoni na neema ngogo saa Juni 6, 2009 10:33am
tupo pamoja ktk kipindi hiki,kwani bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana nalibalikiwe
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Juni 3, 2009 3:39pm
Tupo PamoJah Mkuu Young katika kipindi hiki kigumu.

PamoJah
katika raha na matatizo
Mabagala Maoni na Mabagala saa Juni 3, 2009 3:10pm
Pole sana mkuu Young. Ni kazi yake Mungu. Sote ndio safari yetu. Mungu amrehemu na ampumzishe kwa amani.
Mtoto mzuri Maoni na Mtoto mzuri saa Juni 3, 2009 2:53pm
Inallilah wa inalillah raajuun...tupo pamoja mkubwa young...
 

Wadau (51)

CHA the Great Young Dismas Alfan Dixon mujydebubyz araway Mm eFrancia Dr riziki mlavitu flan flan Bryson dachi.com ABEL ISKAL NDUNDULU REBECCA KASUWI ALBERT Dunda Michuzi Jr EDO NDAKI Jacqueline Mabagala kingwendu stephen Majoy Chaoga Tonge NSAJIGWA Don Magere kishazi Jorge Rutenge Mtoto mzuri Lolita
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter