FotoBaraza.Net

Maelezo

PamoJah

PAMOJAH NI KUNDI LA KUSAIDIANA..KILA MWANACHAMA ANAWEZA KUPATA MSAADA TOKA KWA WANACHAMA WENZAKE, PALE INAPOTHIBITIKA MWANACHAMA HUYO ANA MATATIZO.. NAKARIBISHA MAONI NA USHAURI. PAMOJAH

Tovuzi: http://www.fotobaraza.ning.com/group/pamojah
Eneo: DAR ES SALAAM.
Wadau: 51
Latest Activity: 1 day ago

Let's Get PamoJah Now!

PamoJah means all the people regardless of color, gender and creed are the children of one father, who is Jah, and because all of us are the children of one father, we must unite and help one another.

Let's get PamoJah now.
One Love

Uwanja wa Mijadala

CHA the Great

YAHUSU PAMOJAH T-SHIRTS

Umeanzishwa na CHA the Great Jun. 29, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa PamoJah ili Kuweka Maoni

CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Novemba 1, 2009 8:04pm
You Are Most Welcome

Na ni furaha kwangu na kwa wadau wote wa PamoJah, coz ukiona jumuiya inapanuka inamaanisha jumuiya hiyo inakubalika. Tahnks so much Glory na Chacha Deus.
Also do not hesitate to contribute unachoona kinfaa kwa ajili ya group na wana Group kwa ujumla, for they say...Two heads are better than one.

Asanteni sana na karibuni wote ndani ya PamoJah.

Stay blessed!
One Love
CUTE Maoni na CUTE saa Novemba 1, 2009 2:32pm
THANK YUUUUUUUU!!!!!!!!1
Chacha Maoni na Chacha saa Novemba 1, 2009 9:52am
UNICHUKIE USINICHUKIE KIVYAKOVYOKA0 ILA MAMBO MPETOMPETO TUUU
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Ocktoba 12, 2009 3:24pm
You're most wel;come bwana Mwinyi Mpeku.
ABEL ISKAL NDUNDULU Maoni na ABEL ISKAL NDUNDULU saa Ocktoba 12, 2009 12:37pm
Habari za masiku wanakijiji?
MWINYI MPEKU Maoni na MWINYI MPEKU saa Ocktoba 11, 2009 5:20pm
hodi hapa
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Agosti 26, 2009 12:12pm
Maknkya dada yangu, kwa sasa group ina-exist mtandaoni, ila mipango inafanyika ili kuweza kuwa na makao makuu ya ofisi hii, ndo mana basi kuna zoezi zima la kumpata Balozi wa kundi hili, hiyo yote ni mipango au maandalizi ya mambo makubwa yatakayofanyika.

Karibu sana katika Group na usisite kutoa maoni kwa kile unachoona kitafaa katika group hili.

PamoJah
mankya nkya Maoni na mankya nkya saa Agosti 22, 2009 4:02pm
ok makao makuu yake ni wapi jamani wadau maana napnda sana kuwa mdau mzuri
REBECCA KASUWI Maoni na REBECCA KASUWI saa Agosti 4, 2009 1:25pm
sawa kaka tutatoa
Dada Maoni na Dada saa Agosti 1, 2009 8:08pm
ni mekusoma kaka aka ....., I will think about our group!
 

Wadau (51)

CHA the Great Young Dismas Alfan Dixon mujydebubyz araway Mm eFrancia Dr riziki mlavitu flan flan Bryson dachi.com ABEL ISKAL NDUNDULU REBECCA KASUWI ALBERT Dunda Michuzi Jr EDO NDAKI Jacqueline Mabagala kingwendu stephen Majoy Chaoga Tonge NSAJIGWA Don Magere kishazi Jorge Rutenge Mtoto mzuri Lolita
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter