FotoBaraza.Net

Maelezo

PamoJah

PAMOJAH NI KUNDI LA KUSAIDIANA..KILA MWANACHAMA ANAWEZA KUPATA MSAADA TOKA KWA WANACHAMA WENZAKE, PALE INAPOTHIBITIKA MWANACHAMA HUYO ANA MATATIZO.. NAKARIBISHA MAONI NA USHAURI. PAMOJAH

Tovuzi: http://www.fotobaraza.ning.com/group/pamojah
Eneo: DAR ES SALAAM.
Wadau: 51
Latest Activity: 1 day ago

Let's Get PamoJah Now!

PamoJah means all the people regardless of color, gender and creed are the children of one father, who is Jah, and because all of us are the children of one father, we must unite and help one another.

Let's get PamoJah now.
One Love

Uwanja wa Mijadala

CHA the Great

YAHUSU PAMOJAH T-SHIRTS

Umeanzishwa na CHA the Great Jun. 29, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa PamoJah ili Kuweka Maoni

ALBERT Maoni na ALBERT saa Januari 5, 2009 10:50am
Mambo vipi?Nafurahi kujiunga ktk pamoja.Ipangwe mipango ni namna gani sisi kama wana PAMOJA tunaweza kumfariji maana yupo katika hard time.
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Januari 3, 2009 9:11am
KWELI KABISA KAKA ABEL, KWELI UMEKUJA WAKATI MZURI NA MAWAZO YAKO YAMEKUJA AT THE RIGHT TIME, NI MAWAZO AMBAYO KILA MWANA PAMOJAH NAAMINI ATAYAPOKEA KWA MOYO MMOJA KUTOKANA NA UKWELI KWAMBA; PAMOJAH NETWORK INA MAANA YA UPENDO NA USHIRIKIANO.
ASANTE SANA BW. ABEL
NA
PAMOJAH WE CAN
ABEL ISKAL NDUNDULU Maoni na ABEL ISKAL NDUNDULU saa Januari 3, 2009 9:02am
Mimi ni mwanachama mpya wa PAMOJAH,lakini maoni yangu nadhani yatapewa mwangalizo yakinifu,Kwa kuwa Mr.Alfani amepata msiba hatuna bidi kufanya kikao kidogo cha dharura kwa ajili ya kuchangia hali na mali ili tuweze kumfariji ndugu yetu na kutimiza dhima maudhui ya kuwa PAMOJAH.Sio lazima pesa hata mawazo tu.YES WE CAN!!0787718753
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Januari 3, 2009 9:00am
KARIBU SANA DADA REBECCA NA KAKA ABEL KATIKA PAMOJAH.

MAWAZO YENU NDIO MBOLEA ITAKAYOWEZESHA PAMOJAH NETWORK KUSTAWI NA KULETA MATUNDA MAZURI.

PAMOJAH WE CAN.
REBECCA KASUWI Maoni na REBECCA KASUWI saa Januari 3, 2009 8:16am
Ok kaka tupo pamoja usijali tutashirikiana asante sana nimekaribia.
dachi.com Maoni na dachi.com saa Januari 2, 2009 6:33pm
ok kamnda wangu tupo pamoja
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Januari 2, 2009 6:32pm
KARIBU SANA DACHI.COM
PAMOJAH.
dachi.com Maoni na dachi.com saa Januari 2, 2009 6:10pm
pamojah tunawakilisha nami naunga mkono hii
mlavitu flan flan Maoni na mlavitu flan flan saa Januari 2, 2009 7:22am
happy nu iya!!!!!!!
CHA the Great Maoni na CHA the Great saa Januari 1, 2009 4:56pm
ASANTE SANA BRYSON KWA KUJO-IN PAMOJAH NETWORK KARIBU SANA.

NEEMA MZIMA LAIKINI?
 

Wadau (51)

CHA the Great Young Dismas Alfan Dixon mujydebubyz araway Mm eFrancia Dr riziki mlavitu flan flan Bryson dachi.com ABEL ISKAL NDUNDULU REBECCA KASUWI ALBERT Dunda Michuzi Jr EDO NDAKI Jacqueline Mabagala kingwendu stephen Majoy Chaoga Tonge NSAJIGWA Don Magere kishazi Jorge Rutenge Mtoto mzuri Lolita
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter