FotoBaraza.Net

Salaam akina kaka na akina dada! Ni matumaini yangu kuwa mko powa kabisa. Kwa wale mashabiki wa Michael Jackson nachukua nafasi hii kuwapa pole. Ok. kilichopelekea kuandika msg hii kwa wadau ni kutokana na mtu mmoja aliyetaka kujua kama kuna uwezekano wa kupata T-shirts za PamoJah kwa bei ya jumla ili aweze kufanya mabiziness na mabiashara. Ok. iko hivi, T-shirts zinapatikana kwa bei ya jumla ambayo ni Tshs. 8000/= each, ila ni kwa idadi ya kuanzia pcs 10. Kwa hiyo kama kuna mtu mwingine anayehitaji au ana duka la mavazi au angetaka t-shirts kwa ajili ya mabiashara na mabiziness basi ni vyema kuwasilina nami ili kuweza kupata. Kwa walio ndani ya Dar Es Salaam t-shirts zitawafikia pale mlipo, ila kwa wale walio nje ya Dar Es Salaam itabidi kugharamia usafiri. Mawasiliano yangu ni kupitia simu kwa urahisi zaidi. 0655822269 (Ni MTANDAO WETU ULEULE WA TIGO) usitishike na hizo code namba.
PamoJah katika upendo na mshikamano!

Shirikisha Twitter

Attachments:

Jibu Hoja Hii

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter