FotoBaraza.Net

Maelezo

MAPISHI CORNER

Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula. mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza kuupika ktk aina 50 za mapishi.

Wadau: 48
Latest Activity: 1 day ago

Uwanja wa Mijadala

waswa walter wakhungu

Githeri cha malenge(majungu) 2 Replies

Umeanzishwa na waswa walter wakhungu. Mchango wa mwisho na Mabagala Oct. 9, 2009.

mujydebubyz

UPISHI WA KUKU BILA SHIDA 5 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na Mtoto mzuri Oct. 8, 2009.

mujydebubyz

keki 6 Replies

Umeanzishwa na mujydebubyz. Mchango wa mwisho na cherry Sep. 16, 2009.

Ukuta wa Maoni

Weka Maoni

Lazima Uwe Mdau wa MAPISHI CORNER ili Kuweka Maoni

Kisusi Maoni na Kisusi saa Ocktoba 29, 2009 11:25am
Dada Clara shukran sana kwa pishi hilo, ntashiba sana, sasa linafaa kula na kitu gani?
cool Maoni na cool saa Ocktoba 27, 2009 8:39pm
POTATOES SALAD:mahitaji ni viazi mbatata,mayai,vitunguu,mayonnaise,sweet relish,chumvi.MAAMDALIZI:unamenya viazi nbatata kisha unaosha unavikatata vipande vidogovidogo tia maji kulingana na wingi wa viazi vyako kisha unabandika jikoni ,chemsha mayai yako km sita hivi yanatosha kwa chakula kikiwa kingi, viazi vikiwa raini weka kwenye chombo kikavu katakata vitunguu vipande vidogovidogo kisha changanya na viazi mayai yakiwa tayalyamenye kisha kata tena vipande vidogovidogo kisha changanya naviazi wakati huo umeshaweka vitunguu weka mayonnaise kama kijiko kimoja kikubwa weka sweet relish kisha chumvi kisha vichanganye mpaka uone vimechanganyika vzr kisha weka kwenye friji kwa nusu saa au saa limoja chakula chako kitakuwa tayari . karibuni woteeeeee kula dr stiba nazani utashiba hapo
Kisusi Maoni na Kisusi saa Ocktoba 25, 2009 4:55am
Dada Clara tutashukuru sana, mi naosha mikono kabisa tayari kuitafuna hy Salad!
cool Maoni na cool saa Ocktoba 24, 2009 4:30pm
jamani week hii nitawaletea potatoes salad kwahiyo mkae mkao wa kula ok?
Kisusi Maoni na Kisusi saa Ocktoba 24, 2009 5:07am
Karibu sana dada Clara, hebu tupe nawe uhondo toka pande zako, sisi kona hii ni full kupika na maakuli kwa kwenda mbele!
cool Maoni na cool saa Ocktoba 19, 2009 10:23pm
jamani nilikuwa sijui kuwa huku kuna uondo hivi?
Kisusi Maoni na Kisusi saa Ocktoba 15, 2009 11:39am
Jamani mbona kiota chetu kimedorora namna hii, au wadau hamna jipya!? We Mtoto Mzuri ulikuja na kasi nzuri sasa hivi nawe ziiiiii, mbona hivyo bi mdada, hebu tupe basi japo vya kuonja!
Mama Rayan Maoni na Mama Rayan saa Ocktoba 10, 2009 2:50pm
mtoto mzuri karibu jamani kibarazani kwetu umetutamanisha huo mlenda maana wagogo tupo wengi na kipali unakijua kukipika
Ritha T Maoni na Ritha T saa Ocktoba 9, 2009 7:17am
KARIBU SANA MTOTO MZURI.
haya twasubiri hayo mapishi ya kigogo bibie.
tena hiyo mboga uliyoisema inanoga kweli na ugali wa mtama.
Mtoto mzuri Maoni na Mtoto mzuri saa Ocktoba 8, 2009 11:37am
next tymenikija nitawapikia mlenda wa kigogo eeeeeeeeee maana raha unasukuma tu ugali hauhitaji kutafuna
 

Wadau (48)

Kisusi mujydebubyz Mabagala Ritha T cherry Waridipolejeusi Mama Rayan waswa walter wakhungu Majoy mumy Mtoto mzuri EDO NDAKI araway Leila Alfan aloyce Mama Malaika Bonny ed Mm eFrancia Gloriaessy Lucie wa mama Chaoga Tonge Dunda yusam Michuzi Jr www.houseofglamourtz.com Furaha kashinde Nasser M. Nasser
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter